Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar: Muungano unaweza kuvunjika bila ya Fujo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar: Muungano unaweza kuvunjika bila ya Fujo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mkataba, Jul 20, 2012.

 1. m

  mkataba Senior Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwansheria Mkuu wa Zanzibar (Othman) amewatowa wasiwasi Wazanzibari kuwa Muungano unaweza kuvunji ikiwa Wazanzibari hauwaridhishi ktk muundo wake.

  Alisema hayo ktk Baraza la Wawakilishi na kuwasisitiza baadhi ya makada wa CCM ambao wanawadanganya Wazanzibari kuwa muungano hauwezi kuvunjika. Pia aliongezea kuwa Wazanzibari wanatakiwa watoe maoni yao kwa kutaja moja baada ya jengine ambalo hawalitaki ktk muungano.

  Vilevile aliwataka Wazanzibari watoe maoni ambayo yataikomboa Zanzibar ili iwe huru na hatimae Dola kamili.

  source: ZBC (Radio Zanzibar,TVZ), Shirika la Utangazaji Zanzibar.
   
 2. Democracy999

  Democracy999 JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 947
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tanzania nchi 1 na Serikali 1 daima! Au tumekubali kuwa koti?
   
 3. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Tusaidiane na kulipa deni tena nusu kwa nusu
   
 4. Mzalendo JR

  Mzalendo JR JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,189
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  I wish it hapens so soon as a blink of an eye!
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,784
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  sidhani kama mtu aliye kwenye system anaweza tamka maneno hayo!tupe source mkuu
   
 6. W

  WildCard JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2012
  Joined: Apr 22, 2008
  Messages: 7,477
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Uvunjike haraka. Hata hizi purukushani za baharini zitapungua sana. Walioapa kuilinda na kuitetea Katiba ya JMT wako wapi?
   
 7. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  na mimi nina mashaka na tamko hili kwa mtu wa system.
   
 8. m

  mkataba Senior Member

  #8
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  source: ZBC (Radio Zanzibar,TVZ), Shirika la Utangazaji Zanzibar.
   
 9. m

  mkataba Senior Member

  #9
  Jul 20, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 147
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Usiwe na shaka fuatilia mijadala kwenye Baraza ndio utajua hawa jamaa saivi hawana khabari ya Tanzania, wao wanavojua Tanzania ni Tanganyika na Zanzibar ni Zanzibar.

  Tanzania=Tanganyika na Zanzibar=Zanzibar
   
 10. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #10
  Jul 20, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Naomba sana huu muungano uvunjwe soon as possible maana tumechoka Wazanzbar kutuaribia sifa ya Tanzania kama taifa lenye Amani.
   
 11. f

  fikirikwanza JF-Expert Member

  #11
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 5,935
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Je kimataifa na sheria za kimataifa zanzibar ina qualify kuwa nchi? au ni sehemu ya Tanganyika??? (nchi kavu kama ilivyo tanganyika inapewa mile/kilometer ngapi kutoka ufuko wa bahari kuingia baharini kabla ya kufika bahari kuu, international waters???)
   
 12. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #12
  Oct 8, 2014
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,482
  Trophy Points: 280
  Tazama hii video kuanzia dakika ya 27

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #13
  Oct 8, 2014
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Nimeicheki hiyo video hapo juu, kwa kweli nimemkubali huyo jamaa...
   
 14. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #14
  Oct 8, 2014
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,482
  Trophy Points: 280
  Nimeamini tatizo la wazanzibari ni mzanzibari mwenyewe. Wa znz ni wanafiki sana. Jow hard is it for then to unite as one? Hawatofika kokote kama wenyewe kwa wenyewe wako hivi
   
 15. HNIC

  HNIC JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2014
  Joined: Sep 6, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 1,482
  Trophy Points: 280
  Kumbe kapata kazi USA
   
 16. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2014
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Kama kweli Mungu hajamtupa mja wake.
   
Loading...