johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,740
- 143,189
- Thread starter
- #21
Mbona anakaa upande wa WabungeAG sio mbunge ni ex official kama Katibu wa Bunge.
Serikali au mbunge anaweza kupeleka muswada, Bunge ndilo linatunga sheria, rais anasaini ndio inakuwa sheria.
P
Mbona anapata stahiki za kibunge?
Niliwahi kumsikia Zitto Kabwe wakati fulani akisema AG ni Mbunge wa Dezo
So ni Mbunge au?!!
Nipo kujifunza zaidi