Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Hiyo sio Africa, hakuna mashitaka yoyote hapo,hao tayari Wana strong institutions hivyo Rais kufanya nje ya mfumo very rarelyTrump bado hajakubali matokeo bado, anapanga mapinduzi baridi, anaogopa hatima yake baada ya Urais, amebakisha karata moja kucheza kupitia makamu wake wa Rais katika Senate abadilishe matokeo ya kura ili aendelee kutawala....
Hakukuwa na udanganyifu wowote, vyombo vyote vimethibitisha, Trump alianza mapema kuzikataa kura za Posta, lakini ukweli uko wazi kashindwa.
si mbishiTrump anataka nini bado,kila kona kashindwa bado anakomaa tu
watu wake mwenyewe walikiri ameshindwa sa ngapi asi watumbue wakati ndio anamaliza
TRUMP ANA VOGEZO VYOTE VYA KUGOMBEA 2024 USISHANGAE AKAINGIA TENA.Trump aje Afrika, urais ni mpaka kifo kikutenganishe.
Trump bado hajakubali matokeo bado, anapanga mapinduzi baridi, anaogopa hatima yake baada ya Urais, amebakisha karata moja kucheza kupitia makamu wake wa Rais katika Senate abadilishe matokeo ya kura ili aendelee kutawala.
Barr amejiondoa kwa kuogopa aibu ya kushindwa na kushitakiwa, Mwanzo wa Mwisho wa enzi za Trump.