Nahisi kuna agenda ya siri vile! Anataka tuamini kwamba Mwanasheria amepigwa na watu wenye hasira ya kupoteza nyumba zao hivyo na Dr. Ulimboka alitekwa na watu wenye hasira ya kupoteza ndugu zao. Nahisi haya ndo mazingira yanayojengwa!!!
Hilo eneo litakuwa ni Mabwepande tu.
mi nilishasema kwa jk siku yake ikifika na mi nipo hai, nitakuwa callabash nacheza tukunyema! sitalala wallah!Sitegemei kuona nilichokiona kwa Nyerere siku rais Mkapa au jK akifa. Labda Mwinyi
mzee wa meeeeeeeee,,<mbuzi>liwalo na liwe