Mwanasayansi agundua mahali ilipo Damu ya Yesu

Mwanasayansi agundua mahali ilipo Damu ya Yesu

Mvua zaidi ya elfu 2 zimenyesha,hiyo damu ya Yesu haikusombwa na maji ya mvua?
Just asking
 
Hakika ili wazidi kutapeli wajinga
Haya mambo ya Imani yaache kama yalivyo unaweza wanona wenzio wajinga kumbe wewe ndiye hujielewi ndiye jinga kubwa.

Watu wengi wanaobeza either wachawi au waenda Kwa wanganga wakienyeji walio kubuhu, kwani Kwa mganga kuna maji ya buku kama Kwa Mwamposa?
 
Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa
 
View attachment 3279787

YESU KRISTO NI HALISI

RonWyatt ambaye ni Mtafiti na mchimbaji wa mabaki ya kale, , amedai kufanya ugunduzi wa kupata damu ya Yesu Kristo chini ya eneo la #Golgotha, mahali ambapo Yesu alisulubiwa.

Kwa mujibu wa Wyatt Anasema tetemeko la ardhi lililotokea wakati wa kifo cha Yesu Kristo lilisababisha Ufa kwenye mwamba, na kusababisha Damu kutiririka hadi kwenye chumba cha siri kinachoshikilia Sanduku la Agano.

Majaribio ya kimaabara aliyoyafanye yameonyesha kwamba damu hiyo ina kromosomu 24 pekee—23 kutoka kwa mama na moja pekee ya Y, jambo linalodaiwa kuthibitisha kuzaliwa kwa bikira. Cha kushangaza zaidi, damu hiyo ilipowekwa kwenye maji ilionyesha dalili za uhai, jambo ambalo damu yoyote ya kale haijawahi kufanya.
Hizi bangi, itstusaidia nini? Nadhani ni damu ya wapalestina
 
Back
Top Bottom