Ni miaka 43 imepita sasa, maana huyu jamaa Ron Wyatt alifanya ugunduzi huu mwaka 1982.Ugunduzi wa miaka 40 iliyopita, leo ndio inakuwa habari
Utasikia chanzo ni Roho mtakatifuDuh!...
Hebu weka chanzo tusome zaidi ..
Kitone kimoja milion MojaAkiipata Mwamposa mmeishaa🤣🤣🤣
Tumepigwa , kumbe jamaa mwenyewe alikufa mwaka 1999.Muongo,
Labda yule wa Kenya
Haya basi kakuta damu ya bi. Aisha(6) iliyomwagika wakati mzee wa miaka 57 anamvunja bikra.Muongo,
Labda yule wa Kenya
Muongo, twambie wewe Ile damu ya nani? Au ya mjomba wako?Muongo,
Labda yule wa Kenya
Yaukweli yapi sasa !Muongo huyo
Huwa tunawaambia masuala ya Imani ktk Kristo ni Halisi na Scientific proven.View attachment 3279787
YESU KRISTO NI HALISI
RonWyatt ambaye ni Mtafiti na mchimbaji wa mabaki ya kale, , amedai kufanya ugunduzi wa kupata damu ya Yesu Kristo chini ya eneo la #Golgotha, mahali ambapo Yesu alisulubiwa.
Kwa mujibu wa Wyatt Anasema tetemeko la ardhi lililotokea wakati wa kifo cha Yesu Kristo lilisababisha Ufa kwenye mwamba, na kusababisha Damu kutiririka hadi kwenye chumba cha siri kinachoshikilia Sanduku la Agano.
Majaribio ya kimaabara aliyoyafanye yameonyesha kwamba damu hiyo ina kromosomu 24 pekee—23 kutoka kwa mama na moja pekee ya Y, jambo linalodaiwa kuthibitisha kuzaliwa kwa bikira. Cha kushangaza zaidi, damu hiyo ilipowekwa kwenye maji ilionyesha dalili za uhai, jambo ambalo damu yoyote ya kale haijawahi kufanya.
Anatakiwa aungane na MwamposaAise noma sana
Damu ya Yesu iuzwe kwa milioni kwa tone acha utani bro labda kama ulikusudia usd ml 1.Kitone kimoja milion Moja