Osaka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 1,762
- 555
asubuhi club olympia sinza nayo imeteketea chanzo hitilafu ya umeme?Asije kua Muhongo huyu ana revange!
Hivi kuna chombo chochote kilichothibitisha kuwa ni shoti ya umeme au ni guess work?
asubuhi club olympia sinza nayo imeteketea chanzo hitilafu ya umeme?Asije kua Muhongo huyu ana revange!
Hahaaaaweraaaaaweraaaaapdidnazation wapodawasco tayarimkuu wanamiminiamajipolenisanakwatukiohi lihiv ihakunakijimtohapojiraniwatuwajipangekuchua";majinakuokoanyumbazilizoba kia.?
Oryx work hii mpwaHivi kuna chombo chochote kilichothibitisha kuwa ni shoti ya umeme au ni guess work?
na zinaendelea au zimeishia hizo14 zimeshateketea
Hahahaha jamani japo inasikitisha lakini uandisgi wenu na Pdidy umetia fora. Najua umeamua kumjibu hivi makusudi
Zamaniliwahikuondokampwa