Mkuu wangu
Mnyenz na leo unataka tugombane tena ?
Hapana wewe ni jamaa yangu ,tubishane kwa hoja sio matusi ila ikifika hatua ya kupimana nguvu ,PM yangu ipo wazi namba nitatoa ili tukutane walau ijulikane nani zaidi upande wa ngumi ila kwa matusi mimi mweupe kaka mkubwa .