Mwanangu makelele kitandani sio sifa pekee ya mke bora

Tatizo makelele mengine yako kama kinanda cha Parokia. Hayashuki wala hayapandi kama mlio wa bomu acheni wizi
 
Ila yale makelele mbona huwa yanakuja naturally jamani..halafu mwanamke akiwa na hofu ya Mungu ina maana ndo akii-feel dyudyu ndo asitoe nung'uniko za kimahaba?! Hebu acheni maneno yenu nyie mibaba...mbona hata nyie kuna baadhi yenu wakati wa kupiz mnapiga mikelele eti 'eeeehh ahhhh shhhhhh' kwa sauti ya base..mwe!
 
Kelele zilisikia kutoka chumba cha Mpangaji mwenzangu, Nakufa, Niue mume Wangu, kill me, do me, you are so sweet. Sema nikupe utakacho..... ni sauti ya binti aliyekuwa akilalamika kimahaba zikiambaatana na sauti za mtikisiko wa Kitandani.
Ghafla kwa ukali ikapenya sauti ya baba mwenye nyumba, mwanangu wacha ufala, Mke hatufutwi kwa ujuzi wa kelele za mahaba, tafuta Mke mwenye hofu ya MUNGU
Makelele ya kutaka pesa tu hayo.
 
Ila yale makelele mbona huwa yanakuja naturally jamani..halafu mwanamke akiwa na hofu ya Mungu ina maana ndo akii-feel dyudyu ndo asitoe nung'uniko za kimahaba?! Hebu acheni maneno yenu nyie mibaba...mbona hata nyie kuna baadhi yenu wakati wa kupiz mnapiga mikelele eti 'eeeehh ahhhh shhhhhh' kwa sauti ya base..mwe!
Mwenye hofu ya MUNGU anazini?
 
nahisi baba mwenye nyumba hajui mambo ndio maana anaona wale wote aliokutana nao hawapigi kelele wana hofu ya mungu kumbe hawajaridhishwa
utamu ukizid haaa mbona walopoka tu mengi
 
Hivi mtu akiwa na hofu ya mungu hafeel ile dyu dyu au???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom