mwanangu kavimba uso | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mwanangu kavimba uso

Discussion in 'JF Doctor' started by Lady G, Dec 26, 2011.

 1. L

  Lady G JF-Expert Member

  #1
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 517
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  salaam wana jf, naomba msaada kwa hili, mwanangu vimetokea vipele v2 usoni, amevimba uso, vipele havina midomo kama jipu ila amekuwa mwekundu eneo hilo. Msaada tafadhali nifanye nini.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,069
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  atakuwa na jibu mdomoni..hebu mkamue kwanza hilo jipu
   
 3. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #3
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,983
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  pole mkuu, itakuwa ni jipu hilo.
   
 4. jamii01

  jamii01 JF-Expert Member

  #4
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,832
  Likes Received: 362
  Trophy Points: 180
  mpeleke hosp,ndiyo ushauri ulio pekee..
   
 5. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 9,644
  Likes Received: 5,155
  Trophy Points: 280
  Usivikamue please,mpeleke hospital.Mimi kuhusu mtoto ni moja kwa moja hospitali
   
Loading...