Mwanangu jifunze haya kuhusu mwanamke

1. Mwanangu, mwanamke anaweza kuwa mkeo, mwingine anaweza kuwa mama wa watoto wako, lakini ukipata mwanamke ambae atakuwa kama mama kwako, mama kwa wanao na mama kwa familia, tafadhali mwanangu usimuache huyo!


Hapo umekosea sana tena sana kwa mafundisho ya Kiislam, usirubuniwe.

Mkeo hawezi kuwa mama'ko au kama mama kwako.

Usimlinganishe wala usimfananishe.

Mama ni yule ambae huwezi kumuoa tu:

“Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na halati (mama wadogo) zenu” (Qur'an 4: 23).
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom