Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 31,980
- 95,495
Na mbarikiwe na bwanaNasi twasema , Amen.
Na mbarikiwe na bwanaNasi twasema , Amen.
Hapo umekosea sana tena sana kwa mafundisho ya Kiislam, usirubuniwe.
Mkeo hawezi kuwa mama'ko au kama mama kwako.
Usimlinganishe wala usimfananishe.
Mama ni yule ambae huwezi kumuoa tu:
"Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na halati (mama wadogo) zenu" (Qur'an 4: 23).
Walioelewa wameelewa mkuu,pole sana kama hujaelewa.
Miss you too my Korean friend...lol
19. Mwanangu, kila upatapo muda wa kusali, Sali na familia yako, kuna kesho ambayo huijui, ongea na MUNGU wako ambae anajua kila kitu kila siku!
Hapo umekosea sana tena sana kwa mafundisho ya Kiislam, usirubuniwe.
Mkeo hawezi kuwa mama'ko au kama mama kwako.
Usimlinganishe wala usimfananishe.
Mama ni yule ambae huwezi kumuoa tu:
Mmeharimishiwa mama zenu, na binti zenu, na dada zenu, na shangazi zenu, na halati (mama wadogo) zenu (Qur'an 4: 23).