Mwanangu hataki kuongea nami, nafanyaje?

Uko negative kila kitu. Kila kitu nachosndika hua negative. Wee inakuuma nn mm kumuita dingii?
Unamaanisha nini kila kitu unachoandika? Id yako ndo kwanza naiona leo na ndo uzi wako wa kwanza nachangia.

Ila pia hainiumi wewe kumuita dingi ila hapa namtetea baba mwenzangu. Na wewe ukipata mtoto utakua na urge kama hii.
 
Baba katuziesha tumuogope. Ila mama ni mfariji mzuri
 
Unamaanisha nini kila kitu unachoandika? Id yako ndo kwanza naiona leo na ndo uzi wako wa kwanza nachangia.

Ila pia hainiumi wewe kumuita dingi ila hapa namtetea baba mwenzangu. Na wewe ukipata mtoto utakua na urge kama hii.
Nimekuelewa kiongozi ngoja nifute komenti.ila napenda kumuita dingii ila sio mbele yake
 
Jitahidi, ila kosa ni la Baba na Mama yako! Wakati watoto wanakuwa Baba anajidai ki Dume, kupiga watoto na kuwa mkoloni anaweka distance na wa Toto mwisho wa Siku anakuwa mpweke! Tengeneza urafiki naye ila hauna kosa ni tabia ambayo ni jukumu la Mzazi kuweka I Karibu na watoto wake.
 
Wababa wengine wanazingua ... kwa hiyo yeye analalamika humpigii, je yeye anakupigia? Mwambie atulie dawa imwingie, anataka kuvuna mahindi wakati kapanda magugu!

Hii ni kwa watu wote, sio wababa tu, hata wamama ... uzuri wamama huwa wanajiongeza na kupiga ama sometimes ku beep japo wapate mawili matatu

I am looking forward to be a very close and friendly Dad, nimeshajipa hiyo challange.
 
Kama home tu. Tukisikia muungurumo tu wote mbio...
 
Ni kweli ila baba sio mtu wa kupiga watoto ni vile tu ni mkali wa maneno..Tunamuogopa tu alivyo ila sio mpiga watoto
 
Mm simpigii simu baba ila nikiwa nataka kuongea nae hua ananipigia then naongea.. ila hapo nakua namweleza shida zangu then nwisho wa stori
 
Mkuu umeona utoke nje ya mada kabisa na kuanza kujadili neno 'dingi'.
 
Sure thing. Shida sisi ni watu wakimya mno
 
Umeeleza vizuri sana,
Me pia sina story mingi na Mzee,
Uzuri ni kwamba Mzee wangu anapenda sana michezo,.
So mpira na ngumi vimetuunganisha! Hakunaga story zaidi ya Ubishi/ushabiki wa mpira na Ndondi.
Nikipiga simu ujue ni story za mpira tuu
Mzee hapendi mpira mm sipendi mpira.. hapo ndio nakosa cha kujadiliana
 
Mkuu umeandika nilichotaka kuandika.
 
Si kweli, Mi na mshua tulikua kam wachina but ilikua no story zaidi ya maswali na majibu. Ila kipindi namuuguza alitokea kuwa bonge la Best angu mpaka story za kupiga na rafiki zake au wangu tukawa tunazikung'oli fresh tuu.

Ila kuna kitu hawa wazee sijui huwa ni nini, unaweza kuta hana story na wanae ila vijana rika la wanae smtimez wengine wadogo anapiga nao story mpaka unaona wivu.
Ukiona huna mahusiano ya karibu na baba yako tambua siku ya kutengenezwa kwako mama yako alikuwa hajalala na huyo unayemwita baba.
 

Mtaongea mara kwa mara then stori zitaisha,mtaongea hewa?

Baba hana touch na watoto!

Urafiki haulazimishwi!

Hiyo mnajenga artificial relationship!

Baba alichemka kuwalea wanawe,haya ndio matokeo yake na akubali kuyaishi!

Utajenga nae mastori na urafiki wa kinafiki hata ufanyeje urafiki utakua wa kinafiki,mtaendelea kufanya maigizo matupu!

Baba aache kulalamika!

Yeye ndio aanze kuwatafuta na kuwaongelesha,otherwise atajiju!

Makosa ni yake,arekebishe yeye,watoto hawana makosa kabisa!

Ni upumbavu jitu zima lilifanya makosa wakati wa kulea,lilivyp hovyo zaidi linageuzia makosa kwa hao watoto,badala lijirekebishe lenyewe!

Akiendelea kujifanya hamnazo,atakua mpweke forever!
 
Mzee hapendi mpira mm sipendi mpira.. hapo ndio nakosa cha kujadiliana
Pamoja na hayo ni muhimu kutengeneza mahusiano kati yenu,
Wakati ule hukuweza ila sasa unaweza, zingatia wewe ni kijana wa kwanza kwa familia (Vunja tabia ya ukimya/Woga).
Anza taratibu kumfahamu mzee wako, omba ushauri kwake wa mawazo na nambo mengine atafunguka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…