Mwanangu Dr Kigwangalla | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanangu Dr Kigwangalla

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by engmtolera, Nov 1, 2011.

 1. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Mwanangu Dr Kigwangalla,
  Pole kwa yote yaliyokupata huko Nzega na pongezi zangu za kutoka moyoni kwa kuyasema haya uliyoyasema baada ya kuona jinsi wanasiasa wa kubwa wa chama tawala cha CCM pale Arusha na labda kwa maelekezo ya wanaotembelea pale toka Dra es Salaam wanavyotumia polisi kumyanyasa Mbunge Lema na wafuasi wake kama walivyokufanyia wewe pia pale Nzega...Hayo yanayompata Mbunge Godbless Lema ndiyo yaliyofanya vijana kadhaa kule Libya kufikishwa kwenye kuwa na chuki kubwa dhidi ya Marehemu Gaddafi na watoto wake na kuamua nchi chini ya Gaddafi hisitwalike na leo wote tunasikitika jinsi Gaddafi alivyouliwa kinyama...Leo ni Godbless Lema vile eti ni Chadema lakini ikiisha zoeleka hii kesho baadhi ya polisi wasiowaadilifu wakizoea watamkwinda hata dr. Kigwangalla wa CCM na Mwl. Lwaitama wa CCM lakini mfu... Tusanze sasa kuisaidia nchi yetu na njia pekee ni kutafuta kukipunzisha chama kimoja ambacho kimekuwa madarakani kwa miaka 50 ili baada ya pale polisi wote wajue kuwa vyama ushika madaraka halafu vikaondolewa vikaja vingine na hivyo hivyo kila baada maiaka mitano au zaidi zaidi 10 mabadiriko utokea na hakuna vita wala chuki binafsi dhidi ya eti Wabunge wakolofi...Wabunge wote wanatakiwa wawe wakorofi kama wewe na Godbless Lema maana kazi yenu nikuwatetea wanaoonewa na vyombo vya dola...
  Mwl. Lwaitama
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,200
  Likes Received: 714
  Trophy Points: 280
  mmmhh........baba mkwe ndo kaandika haya?
   
Loading...