KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,356
Wanawake akili yenu inawatosha wenyewe uwezi kuniletea jeuri na kiburi cha kishenge eti kisa una mtoto wangu unajua nitakuhudumia tu.Kwanini amlipize mama kwa mtoto? ugomvi wake na mama wa mtoto unamuhusu nini. Kuna njia nyingi tu za kumtunza mtoto hata kama hutaki kuonana na mamaake kama kweli hutaki kumtelekeza. Mnaendekeza ujinga tu kutelekeza watoto wasio na hatia.
Achana na huyo mropokaji umesema unaenda kanisa mungu atakupa amani rohoni na nguvuKimtokacho mtu kimeujaza moyo wake,pole ndio ulivyolelewa.wapi niliposema nitamjaza mtoto chuki?please onyesha kwenye bandiko langu niliposema hayo.
Anaetakiwa kuhudumiwa hapa sio mama ni mtoto. na ndomaana nikasema kuna njia kibao za kumpelekea huduma huyo mtoto bila hata kuonana na huyo mamaake. Hata kama mlifanyiana visa na huyo mamaake havimuhusu mtoto. inaelekea na wewe ni walewale umemtelekeza mtoto kwa kisingizio cha kugombana na mamaake. Tunza mtoto wewe acha visingizo alafu mtoto akikua ndo ujilete.Wanawake akili yenu inawatosha wenyewe uwezi kuniletea jeuri na kiburi cha kishenge eti kisa una mtoto wangu unajua nitakuhudumia tu.
Binafsi nitakupa optional ya kunipa mtoto wangu nilee mwenyewe...!
Mwanamke akili zake km mtoto ukute jamaa kafanyiwa visa weeh baada ya mimba mnajifanya kunyenyekea mkome tamaa zenu badala ya kukomaa kutafuta pesa mnaendekeza tamaa kupenda mtelemko.
Mtoto tu ndiyo uniendeshe kama gari bovu mimi kwangu akikushinda niletee sitaki kuchunwa kizembe!Anaetakiwa kuhudumiwa hapa sio mama ni mtoto. na ndomaana nikasema kuna njia kibao za kumpelekea huduma huyo mtoto bila hata kuonana na huyo mamaake. Hata kama mlifanyiana visa na huyo mamaake havimuhusu mtoto. inaelekea na wewe ni walewale umemtelekeza mtoto kwa kisingizio cha kugombana na mamaake. Tunza mtoto wewe acha visingizo alafu mtoto akikua ndo ujilete.
hili la amekufa lita kucost miaka ya mbele we ungetumia mbinu nyingine.....hivi vitu vina hunt mtoto akiwa mkubwaSina
Sina time naye,nilitaka ahudumie mwanae,ila ndo hivo mtoto huyu amsahau.
swala si kumpenda mama, mahusiano yanapoanza kuisha pia n kitu mtu unategemea..ila kama mahusiano yalitengeneza mtoto hata kama yatisha si sawa kwa baba kutelekeza mtoto kwa kiburi cha kuwa utatafutwa tu vile we ni baba. msikimbie majukumu baba n kitu kikubwa sana sio mkojo tuUkiona Hivo ujue baba hampendi mama hata kidogo,angekuwa anakupenda unge hudumiwa bila ubishi.