Moneyowner
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,422
- 1,254
Mhii Kazi ipo, English is a language like kisukuma and not a measure of intelligence. Hamuwaoni wachina hawana time na kiinglish ila sisi mataifa maskin hiiii..Nilipiga a ili mwanangu asiishi maisha niliyoishi.
Hatasoma shule za kata
Kiswahili ataongea na wenzake mtaani home ni English
Maarifa na malezi bora atapata na Kiswahili atajifunza akisutana na wenzie mtaaniKiingereza si hoja,hoja ni kupata maarifa na malezi bora
Lakini ni International language ambayo imekuwa barrier kwa wengi. Anilaumu kwa mengine lakini nitamjenga kujua lugha zoteMhii Kazi ipo, English is a language like kisukuma and not a measure of intelligence. Hamuwaoni wachina hawana time na kiinglish ila sisi mataifa maskin hiiii..
Acha uongo wewe..Lakini ni International language ambayo imekuwa barrier kwa wengi. Anilaumu kwa mengine lakini nitamjenga kujua lugha zote
Feza itamfaaMwanangu nitampeleka shule za kawaida tu lakini sio hizi za kata wanazosoma bure,hapana kabisa!!
Noted mkuuAisee we jamaa ni mwanafalsafa...unaakili sana tatizo unayemwabia akili hana hatakuelewa hata siku moja...watu wenye akili wachache sana
tumekutana nao form one hao academia, wengi wao hadi mitihani ya english yenyewe tuliwapga vzur tu
Nilisoma na hao waliokuwa wanaongeleshwa english nyumbani, mmoja akaishia kuwa gay baba yake aliyekuwa anajifanya kumlea kiinglish uswahilini akajifanya kumgeuka mwishoe mtoto akajiua, mwingine akachanginyikiwa alivyokuwa mkubwa kwa kukosa marafiki sasa mlevi wa kupindukia analala kwenye mitaro uswahilini na yeye ndiyo Mswahili kuliko hata sisi tuliolelelwa kikwetu Kiswahili, wakati sisi tuliolelewa kiswahili tuko stable na tumekuwa ma alpha male, kiingereza tumejifunza tumekijua kinatutosha kwenye ajira zetu na tunapokihitaji na pia tunajivunia Kiswahili na uswahili wetu!
naona umeamua kutunga stori ili kujustfy hoja zako, lakini all in all medium school is the best uki compare na hizo shule zenu za kata
Kwa nini unaita Shule zenu?