Chukua choo chake ukapime; jambo mimi si wa taaluma ya afya lakini hiyo ni tambazi / amoeba na dawa zipo ili thibisha kwa kupeleka choo maabara kipimweMadokta mwanangu anaharisha mara kwa mara kinyesi kimechanganyika na ukijani na povu, tafadhali mnisaidie