unatumia kigezo gan kuamin mtoto alipigwa ngumi na haikuwa KANSA YA DAMU ? je una ushaihidi kuea huyo mwl alijuwa mtoto alikuwa anapitia hatua zipi za kimatibabu ?Kama siwezi kumpiga mtoto ngumi inamaana hawezi kupigwa na mwingine? Wewe ndo unashindwa kuonyesha utimamu kwa kuhitimisha mambo kwa hisia.
Halafu unatakiwa ujue kuwa mtoto kuwa na kansa haimaanishi kwamba hawezi kupigwa.
MFANO,
mtoto ana nimonia halafu ukampa adhabu ya kumweka kwenye pipa la maji baridi akafa, dr akisema kafa kwa nimonia inafuta uhusika wako kwenye kifo cha mtoto?
Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app