[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Malaika amesema neno 'njaa' lifutwe kwenye kamusi ya kiswahili kwakuwa yeyote atakaetamka neno hili ni mhaini au atasababisha vita! Kama upo mjini ukahisi kupiga miayo kodi chumba guest piga miayo hadi iishe na ukitoka mlangoni beua kuashiria shibe hapo utakuwa mbali polisi!