Mwananchi na Clouds

Carina

Senior Member
Jan 4, 2011
190
65
Ni muda mrefu sasa sijasikia Clouds wakiperuuuuuuuuuzzzzzzzzzz na kudadisi gazeti la Mwananchi au ni masikio yangu mabovu???
 
Upeo wa clouds ni mdogo sana kuweza kupitia gazeti la mwananchi. Wamezoea umbea ukweli hawaweziiiii
 
Upeo wa clouds ni mdogo sana kuweza kupitia gazeti la mwananchi. Wamezoea umbea ukweli hawaweziiiii

Ila wanaweza sana kukiendesha kipindi chao kimoja sijui kinaitwaje, ila kina kuwa na habari kumi bora kwa mfano kuna siku nikawa very interested kuzijua hizo habari. Kufuatilia nikasikia mwanamziki mmoja anatoa tamko kwamba amemuacha rasmi demu wake, so what? ndipo nilipogundua Clouds siyo redio ya status yangu.
 
Ni muda mrefu sasa sijasikia Clouds wakiperuuuuuuuuuzzzzzzzzzz na kudadisi gazeti la Mwananchi au ni masikio yangu mabovu???

Nunua gazeti na usome kwa kina, au nyie ndiyo wale mnaosikia vichwa vya habari, na kwenda vijiweni kuanzisha ubishi bila kujua undani wa habari yenyewe.
 
Nunua gazeti kaka, kama umebanwa jaribu kusikiliza Redio free africa 12:30, Wapo radio saa 2, radio one saa 1:17 japo radio one wanakuwa shallow sana.
 
Ni muda mrefu sasa sijasikia Clouds wakiperuuuuuuuuuzzzzzzzzzz na kudadisi gazeti la Mwananchi au ni masikio yangu mabovu???
Chadema kweli nie walalamishi. Mnafikiri kila mnachofanya jamii ipo pamoja nanyi?

Watu wanaangalia mbali sio mazuzu ya kukokotwa kwa ukanda na udini.
 
Chadema kweli nie walalamishi. Mnafikiri kila mnachofanya jamii ipo pamoja nanyi?

Watu wanaangalia mbali sio mazuzu ya kukokotwa kwa ukanda na udini.

Sasa hapo chadema inatoka wapi?dahaaaaaaaaa kazi sana kuwa na watu wanao fikiri kwa kutumia sehemu ya ma..lio
 
asilimia 70 ya wapiga domo clouds ni darasa la 7, asilimia 27 ni form 4, na asilimia 2 ni form 6..hiyo moja iliyobaki ni chuo tena DSJ!!sasa unategemea wana uwezo wa kuchambua gazeti makini kama mwananchi??msipoteze muda dhidi yao..u r a millions mile from them jamani..manwaonea hawa!
 
chadema kweli nie walalamishi. Mnafikiri kila mnachofanya jamii ipo pamoja nanyi?

Watu wanaangalia mbali sio mazuzu ya kukokotwa kwa ukanda na udini.
akili zako kama boga cdm wameingiaje hapa!
 
hiyo ni redio ya wafu sasa great thinker unapataje kuisikiliza hiyo redio.............tafakari chukua hatua
 
Back
Top Bottom