Mwananchi mnaharibu

Vawulence

JF-Expert Member
Jan 4, 2009
1,928
2,101
Mimi ni mdau mkubwa wa gazeti la Mwananchi. Gazeti hili limetokea kupendwa sana kutokana na kuandika habari zinazoigusa serikali moja kwa moja.
Ninadiriki kusema kuwa wanaharibu kwani wanatoa kopi zisizotosha. Mimi binafsi toka saa sita ninazunguka mji wa Moshi na nimeenda hadi wilaya ya Hai kulisaka nisilipate. Je,mnatoa kopi chache zaidi?
 
Mhhhh mi nilifikiri labda news zao si nzuri sasa kumbe kopi chache mbona siku hizi mafisadi huzinunua kwa wingi ili wananchi wasizisome habari zao.
 
Mimi ni mdau mkubwa wa gazeti la Mwananchi. Gazeti hili limetokea kupendwa sana kutokana na kuandika habari zinazoigusa serikali moja kwa moja.
Ninadiriki kusema kuwa wanaharibu kwani wanatoa kopi zisizotosha. Mimi binafsi toka saa sita ninazunguka mji wa Moshi na nimeenda hadi wilaya ya Hai kulisaka nisilipate. Je,mnatoa kopi chache zaidi?
That means Demand yake iko juu sana kwa sasa maana wanaandika habari rational.
Kwa pande za Arusha za Arusha na Moshi hali ni ngumu zaidi maana habari kuu zinahusu watu wa ukanda huu!
Usijali kaka, utalipata tu hata kama limesomwa na watu 100!
 
Zimenunuliwa na mafisadi na kisha kuchomwa moto
Mimi ni mdau mkubwa wa gazeti la Mwananchi. Gazeti hili limetokea kupendwa sana kutokana na kuandika habari zinazoigusa serikali moja kwa moja.
Ninadiriki kusema kuwa wanaharibu kwani wanatoa kopi zisizotosha. Mimi binafsi toka saa sita ninazunguka mji wa Moshi na nimeenda hadi wilaya ya Hai kulisaka nisilipate. Je,mnatoa kopi chache zaidi?
 
I got it at last. Nimepata mzee aliyelinunua asubuhi. Huwezi amini ameniuzia kwa 2000 Tshs.
 
online si lipo mkuu??!

mimi huwa nasoma online toka kijijini kwangu huku usokame.......
 
Back
Top Bottom