MWANANCHI LAUZWA NA DAMU ZA WATU i

mimi naona ni sahihhi, msiba umetoke na riziki lazima itafutwe sasa. Ndio maana ni gazeti bora kuliko mengine, wafanye nini na wa shakula hela za matangozo na kumuhaikishia mteja wamba wanafika huko. Kama ni kweli BIG UP MWANANCH

umekosea sana herufi.
 
Kwanza niseme kuwa ni kweli gazeti la Mwananchi lilichelewa kidogo Moshi.
Pili gazeti nililonunua halikuwa na damu! So siwezi nikasema ni kweli ama la!
Tatu -Litokeapo janga ka hili hapana budi lazima mzigo husika ufike kwa mlaji! Kwani wachinjaji wangapi huumia wakiwa machinjioni na bado nyama huwa tunanunua na kula. Kwenye samaki je! Hivi unaonaga yale magari ya samaki yanavyotoka nduki!
Ila kwa kweli lazima tuseme kuhusu haya magari! Jamani unaondoka saa 6 au 7 usiku 12 ushafika Moshi na bado huko njiani ulikuwa napiga break ku supply magazeti? Nasikia ajali ya gari la magazeti ama samaki ni nadra sana mtu kupona likipata ajali.
Watu wa huku kaskazini kwa kutingwa na shughuli hudandia magari ya magazeti na huwahi sana shughuli zilizowaleta huku then huondoka same same evening na fuso kuwahi kwenye shughuli zao!
Jamaa mmoja alinambia lazima ukanunue viroba vya kutosha ili vikuhamishe kwenye akili yako ya kawaida la sivyo mwenye akili timamu hawezi kupanda haya magari!
All in all kama kweli! Poleni wafiwa!
 
kikubwa tuwaombee majeruhi wapone mapema na marehemu walale pema peponi suala la gazeti kuuzwa likiwa na damu iyo itakuwa judgement ya mteja wakati wa kulinunuaa, kama atakuwa ameridhika na kulichukua ivyo ivyo its up to him/her.
 
sidhani kama ni suala la msingi sana la kupotezanalo mda, kwani iyo ni out put ya magamba imewanyonya watu mpaka ubinadamu umepotea kwaajili ya ugumu wa maisha. we fikiria mtu anategemea kula yake kwenye ilo ilo gazeti then asiliuze ili afe njaa? wakati akiiba tu adhabu yake kifo au akisalimika atpigwa mvua tano mpaka sita. YOUR DAYS ARE NUMBERED MAGAMBA
 
Ni kutokuwa na mipango endelevu, kama mikoa hiyo inawasomaji wengi, kwa nini wasifunge vituo vilivyo karibu vya kuchapishia magazeti? ICT iko mikononi mwao, kwa nini hawaitumii? They have to centralize their system offcourse, lakini wakati wa kuchapisha siyo lazima yachapishwe dar!! MCL fungeni mitambo pale kilimanjaro, Mbeya na Tabora kama ilivyo mwanza.
 
kwa nini wasitumie ndege hasakwa shehemu zinazo fikika hasa kaskazini, naona utaratibu huu unaumiza magari, hatari kwa madereva, na watumiaji wengine wa balabala, pia gharama kubwa, sikjui kwanina posta walikubali hii tenda kimeo
 
Back
Top Bottom