Mwananchi awapigia Airtel kuwahoji kwanini wamefungia line ya Brenda Rupia iliyokuwa ikipokea michango ya CHADEMA

Mwananchi awapigia Airtel kuwahoji kwanini wamefungia line ya Brenda Rupia iliyokuwa ikipokea michango ya CHADEMA

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
1,446
Reaction score
2,093
Wakuu,

Kweli watu tumevurugwa, yaani jamaa kaamua kupiga simu kabisa hawa machawa 😂
Haya sasa kampeni ianze kufanya kazi kwa wote wenye laini ya airtel 😂

Baada ya CHADEMA kutoa taarifa kuwa laini ya Brenda Rupia ya Airtel iliyokuwa ikipokea michango imefungiwa ghafla na kampuni hiyo ya simu, mjadala mkubwa uliibuka mitandaoni. Wananchi wengi walitaka kufahamu sababu halisi ya hatua hiyo ya Airtel, huku wengine wakituhumu kuwa kampuni hiyo inatumiwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kama njia ya kuikandamiza CHADEMA.

Soma pia CHADEMA: Namba ya simu ya Brenda Rupia iliyokuwa ikitumika kuchangisha michango imefungiwa na kampuni ya Airtel

 
Wenye line za airtel pigeni 100 customer care akikuuliza tukusaidie nini mwambie kwanini mmeifunga line ya Brenda Rupia.

Tukifanya hivi kwa siku nzima lazima ujumbe wataupata.
Hamna kazi nyie,limeni masika hii,siyo November mlaumu serikali njaa Kali vyakula bei juu
 
Sasa alitaka ajibiwe nini na huyo Customer Care yaani miCDM ya sasa hivi akili sijui imepeleka wapi?
 
Airtel wako sahihi, baadhi ya wanachadema wamemfanya lissu mtaji wao ni kuanzisha tu michango, ikipatikana milioni 10, tano wanakula na tano ndo wanakabidhi chama!!
 
Back
Top Bottom