Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Mwananchi kaamua kujisema bila kuogopa kwamba jamaa anajuwi kusoma wala kuandika, na Jimbo la Kigoma Mjini ni jimbo lenye viwanda kwahiyo linamtaka mbunge msomi.
Na akaukubali kupiga kura kwa Zitto Kabwe kwamba yeye ni msomi
================
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameendelea na kampeni zake kwa kutembelea wananchi mtaa kwa mtaa katika Kata ya Buhanda, Kigoma Mjini, akiwahimiza kumpa kura ifikapo Oktoba 29, 2025.
Zitto amekuwa akitumia fursa hiyo kueleza sera na mipango yake ya kuwaletea maendeleo wakazi wa Kigoma Mjini, akisisitiza mshikamano wa wananchi katika kuchagua kiongozi mwenye dira ya kweli ya maendeleo.