BekaNurdin
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,267
- 2,041
Ipo rangi nyekundu kwenye bendera yao. Nyekundu inawakilisha DAMU. Kitu chochote kinachowakilishwa na rangi nyekundu, kuanzishwa kwake kafara ya damu lazima ilitolewa. Ili kiendelee kuwepo ni lazima kafara ya damu iendelee kutolewa tena na tena. Ndiyo maana wanafosi maandamano ili damu imwagike!
Fikiria; wanapopata ruzuku, mbona hawaitishi wanachama wao au wananchi ili wagawane ruzuku? Ewe mwananchi uliye na usiye na chama usikubali kufanywa kafara ili kuhuisha chama cha siasa. Fikiria watoto au wategemezi wako utakaowaacha pindi ukitolewa uhai eti unapigania chama cha siasa cha wenzio.
N'nani atakayehudumia wanao au ndugu zako? Waonee huruma watoto au ndugu zako. Jiulize, familia zilizoachwa na marehemu wa kafara miaka ya nyuma mbona hawakumbuki kuzitunza?
Akili za kuambiwa changanya na zako!