Mwananchi: Aandaliwe mwanamke mwingine kuongoza nchi baada ya Rais Samia

Mwananchi: Aandaliwe mwanamke mwingine kuongoza nchi baada ya Rais Samia

Is this 21st Century or the Dark Ages ?

Kwamba badala ya kuangalia nani anayefaa kwa watakaokuwepo no matter who they are tunaangalia mambo ya wanawake na wanaume.... Yaani utadhani tumemaliza issue zote za maana kumbe hata hatujazianza...
 
Kwa mfano wa Samia Kuna mwanaume yupi ambae ameweza kufanya Kwa kumzidi? 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C4gcrIet7YG/?igsh=dzhoaHcyY20xN3Rw

Kwani wanawake hawawezi? Tunatafuta wanawake wanaoweza kama Samia Kwa sababu kwanza sio majizi kama wanaume
 
KUELEKEA miaka mitatu ya Rais Samia Suluhu Hassan madarakani, akiwa mwanamke wa kwanza kushika wadhifa huo wa juu hapa nchini, mkazi wa Dar es Salaam, Lucas Emmanuel amesema kuna haja akaandaliwa mwanamke mwingine, ili atakapomaliza muda wake Rais Samia nchi iendelee kuongozwa na mwanamke.
Naunga mkono hoja.
P
 
Back
Top Bottom