TANZIA Mwanamuziki wa Reggae Bunny Wailer (Neville O'Riley Livingston) afariki dunia

Lejendari wa muziki wa Reggae Bunny Wailer, ambaye ni miongoni mwa waasisi wa kikundi maarufu cha Reggae kiitwacho Wailers, ambacho kilimuinua Bob Marley kwenye hadhi mziki wa ulimwengu, amefariki akiwa na umri wa miaka 73. Nyota huyo wa miaka 73 alikata roho akiuguzwa katika hospitali ya Andrews Memorial huko Jamaica.

Meneja wa Wailer aitwaye Maxine Stowe amethibitisha kutokea kwa kifo hicho. Ameeleza kuwa, Marehemu Wailer ambaye jina lake la kuzaliwa ni Neville O'Riley Livingston alikuwa analazwa hospitalini mara kwa mara tangu alipopatwa na maradhi ya kiharusi mnamo Julai 2020.

Wailer alikuwa Mwanachama mwanzilishi pekee aliyekuwa hai baada ya Marley na Tosh kuaga dunia mnamo 1981 na 1987. Baadhi ya nyimbo maarufu za Bunny Wailer ni pamoja na Blackheart Man, Protest, Time Will Tell, Crucial! Roots Classics, Rock and Groove, Liberation, Retrospective, Roots Radics Rockers Reggae, Communication na Rule This Land.

Zaidi ya hayo, Andrew Holness, waziri mkuu wa Jamaica, atuma salamu za pole kwa familia yake, marafiki na mashabiki, na kuita kifo chake "hasara kubwa kwa Jamaica na reggae".

===
Zaidi soma
Bunny Wailer, the co-founder and last living member of Jamaican reggae group the Wailers, who took Bob Marley to global stardom, has died aged 73.

His manager Maxine Stowe confirmed his death to the Jamaica Observer. Wailer had been frequently hospitalised since suffering a stroke in July 2020.

Andrew Holness, Jamaica’s prime minister, was among those paying tribute, offering “deep condolences” to his family, friends and fans, and calling his death “a great loss for Jamaica and for reggae”.

Born Neville Livingston in 1947 in Kingston, he and Marley became friends as toddlers, and formed the Wailers in 1963, which settled into a core trio of the pair alongside Peter Tosh. They released their debut album, The Wailing Wailers, in 1965 (which included their Jamaican chart-topper Simmer Down), before going on hiatus when Marley moved to Delaware in the US. Wailer was convicted for marijuana possession in 1967, and served a 14 month sentence.

They reconvened after Marley’s return and Wailer’s release, teaming with producer Lee “Scratch” Perry and his group the Upsetters, and began recording tracks in the new, slower reggae style that had emerged out of ska. Wailer penned a number of the group’s songs, including what would become his signature song, Dreamland.

By the early 70s, the Wailers had added new members and signed to Island Records, which – aided by the popularity of other new reggae stars such as Jimmy Cliff – helped bring them to international audiences. They had a global breakthrough with fifth album Catch a Fire (1973) and its follow-up, Burnin’, which featured what would become one of Marley’s signature songs, I Shot the Sheriff.

The original trio split in 1974, when Wailer left alongside Tosh. He began a solo career, beginning with 1976’s acclaimed Blackheart Man, and maintained a steady release schedule for 40 years. He won the Grammy award for best reggae album three times, in 1991, 1995, and 1997.

Sisi wadau wa "culture and roots reggae" tumeguswa sana na msiba wa Mzee wetu Neville. Mungu amlaze mahali pema.

Riddiiiiim
The Guardian
 
Bunny Wailer
Bunny Wailer alishinda tuzo tatu za Grammys
Mwanamuziki huyo, kutoka Kingston, Jamaica, alikuwa mmoja waanzilishi wa bendi ya The Wailers pamoja na rafiki yake wa utotoni, Bob Marley.

Kwa pamoja, walipata umaarufu kimataifa kupitia nyimbo zao za reggae kama vile Simmer Down na Stir It Up, kabla ya Wailer kujiondoa mwaka 1974.

Aliendelea mbele na kushinda tuza tatu za Grammys na kutunukiwa Tuzo ya heshima ya Jamaica 2017.
Kifo chake kilithibitishwa na maneja wake Maxine Stowe, na Waziri wa Utamaduni wa Jamaica, Olivia Grange.

Chanzo cha kifo chake hakijulikani, lakini alikuwa amelazwa hospitali tangu alipougua kiharusi Julai 2020.
Mashabiki wake wamekuwa wakimuomboleza nguli huyo wa muziki wa Reggae, baadhi yao wakimtaja kama shujaa.

"Mungu ambariki Bunny Wailer,"aliandika Red Hot Chill Peppers bassit, Flea wrote Red Hot Chili Peppers bassist, Flea. " Mwamba wa kweli na mtu mzuri. Nampenda sana."

Waziri Mkuu wa Jamaica Andrew Holness, Pia alimuombolea, na kutaja kifo chake kuwa "pigo kubwa kwa Jamaica na ulimwengu reggae".

The Wailers

Kikundi cha awali cha The Wailers, circa 1964 Kushoto -kuelekea kulia-R): Bunny Wailer, Bob Marley and Peter Tosh.

Nyota huyo, ambaye jina lake halisi ni Neville O'Riley Livingston, alikuwa mwanachama wa mwisho wa bendi ya The Wailers aliyekuwa hai, baada ya kifo cha Bob Marley mwaka 1981 katokana na saratani, na kuuawa kwa Peter Tosh katika kisa cha wizi wa mabavu mwaka 1987.

Livingston alikulia kijiji cha Nine Miles, ambako alilelewa na baba yake aliyekuwa akiuza mboga.

Ni katika kijiji hicho alipokutana mara ya kwanza na Marley, na wawili hao wakatokea kuwa marafiki wakubwa utotoni, ambapo walitunga muziki wao wa kwanza wakiwa shule ya msingi ya Stepney na shule ya upili.

Kufuatia kifo cha baba yake Marley mwaka 1955, mama yake, Cedella, aliolewa na baba yake Livingston.

Awali wavulana hao walilelewa kama ndugu wa kambo hasa baada ya Cedella na Thaddeus kumzaa binti yao, Pearl.

Walipohamia Trenchtown Kingston, walikutana na Peter Tosh na kubuni kundi la uimbaji la The Wailing Wailers - kwa sababu, Marley alisema: "Tulianza kwa kulia."

Eneo hilo lilikuwa masikini na lilikumbwa na ghasia. Livingston baadae anakumbuka kutengeza gita lake la kwanza kutokana na "fimbo ya mianzi, waya laini kutoka kwa kebo ya umeme na mtungi mkubwa".

Lakini Muibaji Joe Higgs, maarufu "the Godfather of Reggae", ambaye alikuwa akiishi karibu aliwachukuwa vijana hao na kukuza vipaji vyao.

Chini ya uelekezi wake, waliboresha sauti yao, wakaungana na waimbaji wengine kama vile Junior Braithwaite, Beverly Kelso na Cherry Green kabla ya kufupisha jana lao kuwa The Wailers.

Mwezi wa Decemba 1963, bendi hiyo iliingia studios ya Coxsone Dodd maarufu Studio One kurekodi wimbo wa Simmer Down, ambao uliandikwa na Marley kutoa wito wa amani katika makazi duni ya Kingston.

The Wailers baadae walitambulika kupitia wimbo huo ambao ulipata umaarufu sana nchini Jamaica. Walifua na toleo asili la Duppy Conqueror, kabla ya kutoa albamu yao ya kwanza The Wailing Wailers, mnamo 1965.

Lakini walifanikiwa kutoa nyimbo 28 kati ya mwaka 1966 na 1970, kabla ya kuachia albamu yao ya pili inayofahamika kama, Soul Rebels.

Mafanikio yao ya kimataifa yalikuja miaka mitatu baadaye na kibao chao cha Catch A Fire - rekodi ya kwanza waliyoifanya na Chris Blackwell katika chini ya lebo ya Island Record.

Ushirikiano uliotokana na changamoto zilizokumba bendi yao wakati huo. The Wailers walizuru Uingereza katika tamasha la muziki na Johnny Nash - ambaye baada ya wimbo wao wa Stir It Up kuvuma - lakini walashindwa kulipia usafiri wao kurudi nyumbani.

Blackwell alijitolea kusaini bendi hiyo katika lebo ya Island, na kuwalipa scheme ya kwanza ya gharama ya kurekodi albamu nyingine Jamaica.

Lakini bendi hiyo ilisikitika nyingi ya kazi zao zilifanyiwa mabadiliko ili kuvutia mashabiki wa kimaaifa.
Album hiyo haikufanya vyema na ilishuka katika chati za muziki nchini Marekani na Uingereza - lakini bado inakumbukwa kama moja ya muziki wa kale.

Baada ya kutengana na bendi, alianza kufanyia kazi albamu yake Blackheart Man, iliyojumuisha nyimbo za Dreamland ma Fighting Against Conviction, ambazo zilichangiwa na kifongo chake kifupi gerezani.

Aliendelea mbele na kutoa albamu zake tajika, ikiwemo ile ya mwaka 1981 ya Rock 'n' Groove na Bunny Wailer Sings The Wailers mwaka 1980, ambazo zilimfanya kuimarisha baadhi ya kazi za awali alizofanya akiwa kwenye bendi.

Miaka ya 1990, alishinda Tuzo ya Grammy ya Albamu bora ya reggae mara tatu - kila moja ya rekodi hizo zikiendeleza na kuhifadhi kumbukumbu ya Marley na bendi ya Wailers: Toleo la 1991 la Time Will Tell: A Tribute to Bob Marley, Crucial ya miaka 1995! Roots Classics, na utunzi wa miaka 1997 uliojumuisha nyota wote maarufu: Kwa heshima ya Bob Marley katika kumbukizi yake miaka 50.

Bunny Wailer

Nyota huyu alijulikana kama mzee wa taifa wa reggae

"Nafarijika ninapotoa huduma kwa lengo la kuweka mbele muziki wa reggae na kuhakikisha unasalia kileleni," aliambia gazeti la Washington Post mwaka 2016. "Najivunia kuwa na ufanisi huo.
 
'So they want I to go to the burial, but this man no go a no one funeral' Requiescat in Pace, Bunny Livingstone Wailer...
 
Come along every goodie
Come and hear what I have to say
Come and listen and I will tell you
What is the talk of the town today
And every corner that you may walk
You see a group of people balk
They're not skylarkin' they're talkin'
'Bout what's happening here in Jamaica....

Acha kabisa....nuff rispeks
Nipo nausikiliza Hapa na Ballroom floor...
 
Alikua mwana wa ukwanga sana huyu mkushi
 
cool runnings
rise & shine
love faya
bald head Jesus
wirly girly
boderation
cease fire

na redemption song kila member wa wailers alikua akiimba ilikuaga faya

rest in peace ras tafaran
 
Back
Top Bottom