Mwanamuziki Nguza Viking 'Babu Seya' na wanae wafika Ikulu kutoa shukurani kwa Rais Magufuli

Kama ulivaa wewe usidhani ni kila mtu. Watanzania wengi hatuamini kwenye nguvu za giza. Tatizo la UZWAZWA hakuna kazi INAYOCHAPWA bali ni uongo uliokithiri huku nchi ikienda mrama. Viwanda 3,306 vimeanzishwa nchini tangu aingie madarakani na kuna wapumbavu wanaamini UONGO HUU.

Hakuna cha ajabu kama kuna hirizi mbona ni jadi na mila za kiafrika mkawaulize wazazi wenu kama hamjawahi kuvaa matunguli ya so called dawa mkiwa wadogo kama sio viunoni shingoni au mikononi hamna mpya wapinzani kajipangeni upya. Limebaki moja tu na hilo ndio litakuja kuwamaliza kabisa arudi lisu aje kuumaliza upinzani kabisa. Ndio mtakapo amka naona hamna pa kushika mkisikia kanisa limesema hivi mnarukia huko mkisikia mange kasema hivi mnarukia huko wafa maji .CHAPA KAZI MAGUFULI KELELE ZA CHURA HAZIMZUII NG'OMBE KUNYWA MAJI
 
Ndani ya Ikulu kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Hajawahi kukutana na viongozi wa upinzani lakini kaona umuhimu wa kukutana na huyo rapist wa watoto! Vipaumbele vyake vinashangaza sana.

Hamna lakini siyo kualika ma rapist Ikulu
 
Inaonekana ulawiti na ubakaji viko kwa damu ya famili hii maana walifungua kituo kama danguro la kuwadhalilisha kingono watoto wadogo ni fedheha kujipanga mitaani kuwakaribisha wakati wazazi wa watoto wale kumi bado wanasononeka,kama unafurahia kuachiwa kwao wewe sio mzazi na hujui uchungu wa mtoto
 
Nina kuelewa vyema,lakini kumbuka hata wakiingia jela wengi hutoka kwa kuhonga na kusingizia hakuna ushahidi.Hili nililifanyia research,rafiki Pesa inaongea lugha zote,ya kisiasa,kisheria na kidini usicheze na pesa inafua hata roho.

Utakuja kuniambia jinsi UBAKAJI na Kunajisi watoto kutakavyoongezeka kwa kasi ya bombadier.

Taifa letu litaendelea pale tu watanzania watakapoamua kuwa wakweli kwenye nafsi zao wenyewe
Ndugu yangu Hakuna Kesi ngumu Kama yakubaka Mtu akikubanansha nahii amekuweza Kama kuhonga utahonga na Jela utaishi
Mpaka ijekuthibitika huhusiki HOI
 
Ndugu yangu Hakuna Kesi ngumu Kama yakubaka Mtu akikubanansha nahii amekuweza Kama kuhonga utahonga na Jela utaishi
Mpaka ijekuthibitika huhusiki HOI

Ni kweli lakini wenye pesa zao wanatoka.Siyo hizi pesa za mshikaki pesa hasa wangu.
 
Wakristo waliokubaliana nao. Kurudi Na kutoa shukrani. Wasio Na imani awataelewa. Kuhani mkuu alisemaje kwa yule aliyerudi Na kushukuru? (YESU)
 
Ndani ya Ikulu kwa zaidi ya miaka miwili sasa. Hajawahi kukutana na viongozi wa upinzani lakini kaona umuhimu wa kukutana na huyo rapist wa watoto! Vipaumbele vyake vinashangaza sana.
Bandege bafananao barukaga pamoja papaaa
 
Back
Top Bottom