Mwanamuziki Adele

Mwanamuziki Adele

ImageUploadedByJamiiForums1446068284.138907.jpg
Mkuu ni noma ndani ya siku tano tu viewers zaidi ya million 100
 
huyu demu ni shida aisee ile nyimbi yake dont you rember aaaah walahh nkisikia nasikia vizr
 
Adele ni moja kati ya wanamuziki wanaonibamba sana nikisikia nyimbo zake huwa zinavuta hisia..
ukianza na Someone like you, Rollin in the deep, Skyfall etc
Alikuwa kimya kitambo lakini sasa hivi ametoka na Hello..imesha hit views almost 90m ndani ya siku tano kwenye you tube.Album yake mpya inatoka November cnt wait....

https://www.youtube.com/watch?v=YQHsXMglC9A

Kuna kazi yake inaitwa "I can't make you love me if you don't"

Its a must listen song kwa ambae hajasikiliza.
 
Nilianza kumjua mwaka 2012 pale nilipokutana na binti Wa kinorway katika mishemishe za kimaisha ambapo akanitania yeye ni mwanamuziki Adele kipindi hicho nilikuwa sijawai kumfahamu mwanamuziki huyu ndipo nikaanza kutafuta nyimbo zake nilipata kuzisikia nyimbo kama someone like you na set fire in the rain nilimpenda sana ingawa baadaye yule mnorway alinicheka sana but we used to be together kwa muda flani ambao alikuwa hapa bongo katika project flani kwakweli nilimfaudu sana ndio maana nikisikia nyimbo za huyu Adele zinanikumbusha mambo mengi mazuri
 
Adele naye ajifunze kusahau bado anamwimbia mchizi tu.
 
Halafu hii Hello inaonekana Adele ndiyo alizingua, na inaonekana wazi jamaa kashasahau na kuendelea na life, sasa haka ka Adele katulie tu.


Ha ha ha ha 😊 napenda someone like you
 
Hii HELLO ya ADELE kairudia tena Joe.Binafsi vocal la Joe ndo nimelikubali zaidi.
 
Back
Top Bottom