Mwanamume anahitaji nini? Wale wanandoa hebu mnijuze!!

Mimi kama mwanaume......
Kwanza nataka
unconditional love......
Sex ya bila usumbufu hata kama
tumegombana asubuhi...
Kusamehewa ninapokosa..
Kupendwa na kufarijiwa ninapokuwa
nipo down emotionally au financially...
 
mi nadhani anhitaji kumwingilia nyuma tu maana wengine hwaridhiki kwa mbele bwana...
 
Go with an open mind, expect surprises.
Hata uwe mzuri namna gani - sura, tabia, kujua majukumu na kuyatekeleza.... usidhani ndoa itakuwa raha mustarehe. Utastaajabu kuwa wale wenye kuwa na kila sifa ndio hulizwa kupita maelezo.Wewe muombe Mungu wako tu kila siku na jiweke katika hali of expecting the worst so that when you get the best you will be pleasantly surprised!
Thanks for the nice comment VC
 
Pamoja na yote uliyoaambiwa na utakayoambiwa,Amini kubwa lao ni SALA ,kuna watu wengine kazi yao ni ushetani kuharibu na kufurahia unavyoharibikiwa,nilisoma pahali,mnatakiwa muwe mnasali pamoja kwakila jambo kama kuna uwezekano,ombea kila kitu,kuanzia sasa hivi anza na matayarishoya harusi yako,kuwa na furaha,ombea zawadi utakazopewa etc..ubarikiwe.
 
Buy me a rose, call me from work
Open a door for me, what would it hurt
Show me you love me by the look in your eyes
These are the little things I need the most in my life
Now the days have grown to years of feelin’ all alone

Luther Vandros

Huyo si mwanaume rijali...unataka rose luther....lol
 
Go with an open mind, expect surprises.
Hata uwe mzuri namna gani - sura, tabia, kujua majukumu na kuyatekeleza.... usidhani ndoa itakuwa raha mustarehe. Utastaajabu kuwa wale wenye kuwa na kila sifa ndio hulizwa kupita maelezo.Wewe muombe Mungu wako tu kila siku na jiweke katika hali of expecting the worst so that when you get the best you will be pleasantly surprised!


well said ma!...Pretty Mungu akutangulie.
 
pongezi kwa kutafuta mawazo hapa mtandaono. ni mapinduzi mengine hakika. si tu kwenu mabinti wenye hafla za jikoni, wanaume pia siku hizi wana hafla za barazani ambazo ni rasmi kama hizo za jkoni. uzoefu umeonyesha hafla za jikoni zinashabikiwa sana na mabinti na wazazi wao kwa sababu ya zawadi za vyombo vya nyumbani. usia unaotolewa pale licha ya kwamba haukidhi kutokana na mazingira na yaliyomo, pia hubaki palepale ukumbini baada ya sherehe!

tatizo kubwa siku hizi ni nafasi-husiano au kwa kiingereza wanaita relative position kati ya mwanaume na mwanmke. mara nyingi nafasi-husiano za kisasa zimeleta mapinduzi ya maisha ya ndoa ka kiwango fulani huku kukiwa na ushahidi kuwa katika kizingo cha ndani cha hisi-juzi zimekandamiza ashiki ya mwanaume na kuumua mkakao-elevu kwa mwanamke na inakadiriwa kuwa binadamu anayeelewa mambo ya kisasa ameathirika zaidi ya yule mbumbumbu kwa maisha haya ya kisasa. kwa kuwa wewe unatumia tarakilishi basi ni wazi uko katika hatua fuani ya juu ya uelewa wa maisha ya kisasa na hivyo kuwemo hatarini. baadhi ya mambo si vyema kuandikwa hapa. unaweza kuni PM nitakueleza zaidi.

asante
 
kwakweli ndoa msingi wake mkubwa ni vitu viwili ninavyoelewa mimi vikifanyiwa kazi vyema kwa kila mmjoja kila mwanadoa anawajibu wake 1.mume ni kumpenda mke wake na 2 mke kumtii mume wake kila mmoja akifanyia kazi wajibu wake bila kutegea na bila kuruhusu watu wa nje kuingilia ndoa yenu na maamuzi yenu mtaishi mbinguni duniani
 
Back
Top Bottom