"Mwanamme wa dar ni nani"?

Kozo Okamoto

JF-Expert Member
Oct 14, 2013
3,391
1,543
Haya maneno yamekuwa yakitumiaka sana humu jukwaani na kwingineko,huwa nashindwa kuelewa huwa wanamaanisha nini wanapotumia maneno haya kwa sisi tuishio mjini hapa?
 
Mwanaume wa Dar ni mwanaume anayeishi Tanzania ambaye anaonewa gere na wakulima wa mashambani. Wakulima hao kwa kuwa wana wivu wa kike kama waimba taarabu huwa hawamalizi siku bila kukosa kusema neno lolote baya kuhusu wanaume wa mjini...

Sijui nimeeleweka?

Kwa kifupi tu ni kuwa mwanaume wa kweli huwa hazungumzii mapungufu/uwezo wa mwanaume mwenzie...isipokuwa tu...kama ana hisia/homoni za kike.

Samahani kama nimekwaza watu
 
Mwanaume wa Dar ni mwanaume anayeishi Tanzania ambaye anaonewa gere na wakulima wa mashambani. Wakulima hao kwa kuwa wana wivu wa kike kama waimba taarabu huwa hawamalizi siku bila kukosa kusema neno lolote baya kuhusu wanaume wa mjini...

Sijui nimeeleweka?

mi nakuelewa mkuu ila kuna post moja hapo juu,dah imeniacha mdomo wazi
 
na wewe bwana, swali gani hilo? ni wanume wote wanaoishi dar. we unataka wawapi waitwe wa dar?
 
Mwanaume wa dar ni mwanaume anaelilia kila mda hana nguvu za kiume.
Mwanaume wa Dar ni mwanaume anayeishi Tanzania ambaye anaonewa gere na wakulima wa mashambani. Wakulima hao kwa kuwa wana wivu wa kike kama waimba taarabu huwa hawamalizi siku bila kukosa kusema neno lolote baya kuhusu wanaume wa mjini...

Sijui nimeeleweka?
mwanaume wa dar ni yule anaekula muhindi wa kuchoma na limao
 
ni yule ambae hajui kutongoza anakufata pm umtumie picha za uchi
ni mwanaume ambae hamtaki magufuli maana amezoea ujanja ujanja wa kizulumati

aisee kumbe ndo huyo?
 
Back
Top Bottom