ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,754
- 42,241
Haya wale wenye mipango ya ndoa kazi kwenu na wenza wenu huko muendako
Hata mimi, mtu anweza hisi unamuignoreSkuiz hua sipati notification sijui shida ni nini
Kwani mlishawahi kukubali?Wanawake mmesikia... na sisi tusikubali kusettle na broke men sawa enhee
You, you kila kituo, kweli upepo ukipuliza manyoya ya kuku...acha kukariri kila asiyeandika ushamba wako hana elimu, karne ya 21 bado unajivunia kingereza cha Rasi Simba?Is that what you think 😂? you really think everyone’s education comes from GPT? Young man look at how far your intelligence has taken you you’re making yourself look foolish get your mind right and fix yourself.
So far inaonekana unakua amazed sana mtu anapo reply na lugha tofauti fair qn what you're education level ?
Tafuta fweza broo la sivyo ndoa nehi nehi
Mimi nikatafite wapi kwani nimezipoteza🥹Tafuta fweza broo la sivyo ndoa nehi nehi
The Mario MindsetMwanaume ukisha make it, usikubali kusettle na mwanamke ambaye hana kipato chake, hana direction, na hana abundant mindset. Sio kwamba kila mwanamke lazima awe tajiri au awe na pesa nyingi kuliko wewe. Hapana. Tatizo ni kuwa na mtu ambaye hana hamu ya kujijenga kabisa, anaona pesa yako kama solution ya maisha yake, na anategemea kila kitu kitoke kwako. Leo unaweza kuwa na uwezo wa kumhudumia, lakini maisha yana seasons. Unachotafuta sio mtu wa kufaidika na mafanikio yako; unatafuta partner ambaye ana uwezo wa kujenga kitu chake pia.
Nyie hqmtaki kuulizwa kama mna hela ila mnataka wanawake wenye hela muwaoe nyie vipi??Utasikia mpo kwenye mahusiano anakuuliza upo na kazi gani,vp umejenga au umepanga akiona pangu pakavu ni mwendo wa kimya cm hazipokelewi tena,mkuu upo correct 💯 kabisa mimi demu asiyekuwa na kazi au tegemezi hapana
Ngoja tuone😀😀😀haya
Kwa upande wetu tushazoea maswali hayo shida kwenu mwanaume asiyekuwa na hela au kazi ya maana ujue hapati nafasiNyie hqmtaki kuulizwa kama mna hela ila mnataka wanawake wenye hela muwaoe nyie vipi??
Hata nyieKwa upande wetu tushazoea maswali hayo shida kwenu mwanaume asiyekuwa na hela au kazi ya maana ujue hapati nafasi
Huyo huyo unayemuita Mwanaume masikini ukiingia nae kwenye mahusiano bado unamtegemea kwa kila kitu na mwanamke uoni hapo nitatizo? Ingekuwa na wao wanaingia mahusiano na wanawake ambao wanaleta value kwenye hayo mahusiano ingesadia kuyafanya yawe na afyasisi pia tukisema tusi settle na broke man inakua kesi na maneno ya shombo ila nyie aaaah ni shega tu si ndio wanetu
Kitu gani una offer kwenye mahusiano yako? Unajua hata huyo mwanaume masikini still ana provide kwa mwanamke na yeye hakuna anachopata kwa huyo mwanamke hiyo ndio point anayomaanisha mtoa mada huyo mwanaume akija kufanikiwa huwa ni kwa juduhi zake mwenyewe iweje afanikiwe abaki na wewe wakati hukumsaidia kwa Chochote ndio maana mtoa mada VERIFY akapendekeza usiwe tena na huyo mtu tafuta independent woman mwenye mchangoWanawake mmesikia... na sisi tusikubali kusettle na broke men sawa enhee
Na mimi kama independent sitaki poor men, kila mtu ashikilie msimamo wakeKitu gani una offer kwenye mahusiano yako? Unajua hata huyo mwanaume masikini still ana provide kwa mwanamke na yeye hakuna anachopata kwa huyo mwanamke hiyo ndio point anayomaanisha mtoa mada huyo mwanaume akija kufanikiwa huwa ni kwa juduhi zake mwenyewe iweje afanikiwe abaki na wewe wakati hukumsaidia kwa Chochote ndio maana mtoa mada VERIFY akapendekeza usiwe tena na huyo mtu tafuta independent woman mwenye mchango
Kila mtu ana maamuzi yakeNa mimi kama independent sitaki poor men, kila mtu ashikilie msimamo wake
Nyakati hizi wanawake wamekuwa kama wawindaji kabisa,ukiwa mwenye senti kidogo ni shida sana unawindwa kwa nguvu zote na uchawi pia!Mwanaume ukisha make it, usikubali kusettle na mwanamke ambaye hana kipato chake, hana direction, na hana abundant mindset. Sio kwamba kila mwanamke lazima awe tajiri au awe na pesa nyingi kuliko wewe. Hapana. Tatizo ni kuwa na mtu ambaye hana hamu ya kujijenga kabisa, anaona pesa yako kama solution ya maisha yake, na anategemea kila kitu kitoke kwako. Leo unaweza kuwa na uwezo wa kumhudumia, lakini maisha yana seasons. Unachotafuta sio mtu wa kufaidika na mafanikio yako; unatafuta partner ambaye ana uwezo wa kujenga kitu chake pia.
Mwanamke mwenye abundant mindset haoni mafanikio yako kama threat wala ATM. Anaelewa kwamba pesa ni tool, sio personality. Anaweza kuwa bado hajafika mbali, lakini ana vision, anajifunza, anafanya kazi na anatafuta namna ya kuongeza value yake. Huyo anaweza kuwa broke leo lakini si broke minded. Kuna tofauti kubwa kati ya mtu ambaye hana pesa kwa sababu bado yuko kwenye safari na mtu ambaye hana pesa kwa sababu hana ambition ya kuanza safari. Usichague partner kwa balance ya bank account pekee; angalia mindset, discipline, ambition na uwezo wa kujisimamia.
Kwa sababu ukweli ni kwamba ukimchagua mtu asiye na direction, baada ya muda unaweza kujikuta unambeba kila upande financially, emotionally na mentally. Na hapo relationship inaweza kuacha kuwa partnership na kuwa dependency. Mwanaume anayejenga future yake anahitaji mwanamke anayeelewa future, sio mtu anayemrudisha nyuma kwa matumizi yasiyo na mwisho, entitlement na kutokuwa na plan. Haimaanishi usimsaidie mwanamke wako. Msaidie, support him/her, share what you have but usijenge maisha ambayo yanaweza kusimama tu kwa sababu wewe una pesa. Partner bora ni yule ambaye hata ukipoteza kila kitu leo, bado ana akili, skills na determination za kuanza tena pamoja nawe.
Kwa hiyo ukisha make it, usiogope kuchagua kwa standards zako. Usichague mwanamke kwa uzuri wake pekee halafu baadaye ugundue kwamba hamna direction moja ya maisha. Tafuta mtu ambaye anaweza kusema, “Hiki ni chako, hiki ni changu, na hiki tunajenga pamoja.” Pesa yako iwe baraka kwenye relationship, sio sababu ya relationship kuwepo. Usitafute dependent, tafuta partner. Usitafute mtu wa kula matunda ya mti ulioupanda peke yako; tafuta mtu ambaye yuko tayari kupanda miti pamoja nawe. Hiyo ndiyo tofauti kati ya kuwa na mtu anayefurahia mafanikio yako na kuwa na mtu anayesaidia kuyazidisha.
Avoid broke b*tches by any costs.
Wanawake wa siku hizi wanamatatizo sana wanasema gender equality lakini ikifika upande wa kuhudumiwa mwanamme ndo awe provider hii hua inanishangaza sana.Nyakati hizi wanawake wamekuwa kama wawindaji kabisa,ukiwa mwenye senti kidogo ni shida sana unawindwa kwa nguvu zote na uchawi pia!