Mwanamme ukisha make it usisettle na broke women

Mwanamme ukisha make it usisettle na broke women

You fool, stop hiding behind the idea that women are impossible to understand. Hold yourself to standards that make your own life understandable. You idiot, understand what life demands of you or you’ll die carrying the same ignorance in your head FOOL.
Bado una upumbavu mwingi kichwani kwa ushamba wa kihaya kuwa ukiandika kingereza cha ChatGPT ndiyo umeongea hoja yenye mantiki kumbe ni pumba tupu...

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
 
Umenikumbusha Ile song ya Chris brown 'Loyal"
"Took a broke nigga bitch
I can make a broke bitch rich

But I don't f*ck with broke bitches"

Wako wanawake ambao wake very positive linapokuja kwenye kujiongeza kiasi ukimwona Tu unaelewa she is broke Kwa bahati mbaya na siku akipata support ananyanyuka, wako tayari kujifunza kubadilika n.k

Binafsi naamini Wanawake ambao ni broke na wanahustle mindset ya kujitegemea 1 day hawatakiwi kupuuziwa .
 
Avoid broke b*tches by any costs.
Usiwaite bitches bwana, bitches ni mambwa jike.😅

Kwenye masuala ya kifedha, hoja kuu ni makubaliano. Kuna mtu anataka "broke woman" ili amtegemee kwa kila kitu, hatuwezi kumpangia. Tunamuacha afanye apendavyo.

Mahusiano yanabebwa na hiari, huchagui tu wa kumpenda unachagua pia umpende vipi.
 
Bado una upumbavu mwingi kichwani kwa ushamba wa kihaya kuwa ukiandika kingereza cha ChatGPT ndiyo umeongea hoja yenye mantiki kumbe ni pumba tupu...

Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Is that what you think 😂? you really think everyone’s education comes from GPT? Young man look at how far your intelligence has taken you you’re making yourself look foolish get your mind right and fix yourself.

So far inaonekana unakua amazed sana mtu anapo reply na lugha tofauti fair qn what you're education level ?
 
Ngoja Haika lawere aone Uzi huu na Rose shaboka waje na maneno kuntu ndipo upande wa pili utasema kwa kila lugha
 
Back
Top Bottom