hahaha pole mkuu.Mtu mzima kuamua kumtukana mwenzie hivyo hadharani lazima kunajambo, inawezekana yapo mengi zaidi ya hilo....
By the way, wakati mwingine wanawake mnakera tena sana, mi mwenyewe iliisha nitokea ya hivyo, nimejibana mtoto wa kiume angalau wife asipate dhahama ya kukaa masaa 14 kwenye basi, nikamega nusu ya mshahara nikamkatia tiketi ya ndege siku yenyewe inafika anajizungusha ndanii, namkumbusha muda una enda yeye hata hashtuki ndio anaanza nakufua, akachelewa shuttle....roho ikaniuma kweli, mtoto wa kiume nikajikaza na mihasira yangu nikawasha gari nimpele airport( hapo ni Arusha mpaka KIA) alipoona nimewasha gari na yeye akaamua kubadili tena nguo, nikazima gari, nimepiga simu mtu hatoki, kuingia ndani ndio kwanza anapanga begi limejaa balaa, nikamsaidia kulifunga, tumeondoka mpaka KIA watu wana board, ananiambia kasahau wallet na ina ticket tena akaanza kunilaumu mimi ndio nimemuwahisha mpaka kasahau, nikaidowload ticket nikampa...kule matangazo ndio yanazidi yeye ndio kwanza yuko kwenye kioo cha anarekebisha nywele...uvumilivu ulikwisha tho iam not proud of lakini nilimpa mabanzi mawili naona akili yake ikarudi, na ninashukuru hajawahi kuniuliza kwa nini nilimpa mabanzi na tangu siku hiyo kama anataka ndege atumie mshahara wake.......kwa hiyo haya mambo wakati mwingine wanawake mnatuuzi mno. Ingawa sitetei lakini inawezekana jamaa uvumilivu umefika mwisho, wenzenu roho zetu ndogo mjue!
Hao wanaume wa aina hiyo hivi bado wapo....kisa kuchelewa tuu?? kuna jingine ndani yake.....muulize rafikiyo vema..
Mkuu miaka 6 changa? mwehu tuu huyu mbaba kanikeraaaaaaaaaa..changa sana miaka 6?
ongea na rafikiyo unaweza kumsaidia........mwanaume unamchambaje mkeo hadharani......hata kama ushamchoka.....kuna kitu sitara......msitiri mwenzio.......muachane kwa amani....Majumba yana mengi sana ila kwa hili huyu bwana amenikera sana..
Alishajionea amepata visa ya wiki mbili -- mara hata siku moja haijatimia -- lazima atokwe na povu
ongea na rafikiyo unaweza kumsaidia........mwanaume unamchambaje mkeo hadharani......hata kama ushamchoka.....kuna kitu sitara......msitiri mwenzio.......muachane kwa amani....
Wamechokana hao
Kuna wakati wadada mapozi yanapitiliza, hawajali muda, jamaa ilimuuma kupoteza pesa kijingajinga.Hao wanaume wa aina hiyo hivi bado wapo....kisa kuchelewa tuu?? kuna jingine ndani yake.....muulize rafikiyo vema..
hulka kama hiyo ni ngumu kubadilisha.......ajipange tuuShogangu nimemwambia kwanza watoto wake wadogo pili nilazima akubali hulka ya mumewe na ajaribu kuibadilisha lakini mmm inataka moyo sana mkuu.
Kilichomkera jamaa ni kupoteza hela kizembe, si ajabu huyo dada kachelewa wakati wa kujipodoaHata mkichokana mnawachana tuu kila mtu kivyake huyu mwanamke kwaweli sioni kama mkorofi yani ukimlinganisha yeye na mimi
mwenzangu mpole mie upole wake sina.
Mkuu ni sawa kugomba ila sio kutukana mbele za watu muite mkeo mueleze pole pole mwenzangu vp mbona unafanya mambo sio na unajua pesa ngumu kipindi hiki? atakuelewa na ata omba msamaha sio kumchamba kama vile unamsuta.
Ni utoto tu; mi ninavyompenda Mama watoto wangu, miaka 23 niko naye; kwanza akisafiri huwa naishiwa hata raha. Siku akirudi huwa namkaribishia chumbani; kabla ya yote ni kuonana tukiwa kama tulivyozaliwa. Nitaanzia wapi kumtukana my!?
Mtu mzima kuamua kumtukana mwenzie hivyo hadharani lazima kunajambo, inawezekana yapo mengi zaidi ya hilo....
By the way, wakati mwingine wanawake mnakera tena sana, mi mwenyewe iliisha nitokea ya hivyo, nimejibana mtoto wa kiume angalau wife asipate dhahama ya kukaa masaa 14 kwenye basi, nikamega nusu ya mshahara nikamkatia tiketi ya ndege siku yenyewe inafika anajizungusha ndanii, namkumbusha muda una enda yeye hata hashtuki ndio anaanza nakufua, akachelewa shuttle....roho ikaniuma kweli, mtoto wa kiume nikajikaza na mihasira yangu nikawasha gari nimpele airport( hapo ni Arusha mpaka KIA) alipoona nimewasha gari na yeye akaamua kubadili tena nguo, nikazima gari, nimepiga simu mtu hatoki, kuingia ndani ndio kwanza anapanga begi limejaa balaa, nikamsaidia kulifunga, tumeondoka mpaka KIA watu wana board, ananiambia kasahau wallet na ina ticket tena akaanza kunilaumu mimi ndio nimemuwahisha mpaka kasahau, nikaidowload ticket nikampa...kule matangazo ndio yanazidi yeye ndio kwanza yuko kwenye kioo cha anarekebisha nywele...uvumilivu ulikwisha tho iam not proud of lakini nilimpa mabanzi mawili naona akili yake ikarudi, na ninashukuru hajawahi kuniuliza kwa nini nilimpa mabanzi na tangu siku hiyo kama anataka ndege atumie mshahara wake.......kwa hiyo haya mambo wakati mwingine wanawake mnatuuzi mno. Ingawa sitetei lakini inawezekana jamaa uvumilivu umefika mwisho, wenzenu roho zetu ndogo mjue!
Huyo atakua alilimbikiza kesi za nyuma, sasa akapata pa kutolea mihasira bila kujua anajidharirisha, mwambie bibie a relax asifanya maamuzi ya kukurupuka, talaka hazina maana aiseeMkuu imebidi nicheke sometimes yes tunadeka mkiwepo,sasa hapo ulikua wewe na yeye yule anabwata mbele yangu yani niaseme huyu angekua mume wangu mbona angenunua kesi kwa gharama kubwa sanaaa lol.
Nilibeba sanduku mpaka pale entrance wanapokagua kuangalia sioni mtu, kurudi kwenye gari ndio nikamkuta kwenye kioo ndani ya gari, mabanzi nilimpa ndani ya gari sio hadharani, siwezi kumdhalilisha my bby mama hadharani aisee, sometimes akiwa hayupo hayomaudhi yake nayakumbuka halafu najikuta nammiss aisee...mapenzi bana, acha kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ila wife nae alizid uzembee,wkt mwngne usimpige mabanzi hadharani jmn🤣