Mwanamke ...

 
Yanawezekana yote inategemea na tabia ya mwanaume,hunijali hujui majukumu yako wala nafasi yako kwangu kama mwanaume then nifanye hayo yote kwako,kwa kuwa nauogopa au unanitawala sana?

NIMEIPENDA,,,,hanitimizii mahtaj yngu, mbabe,hanisikilizi,et mke ni mtumwa! hathamini hata kidogo nnachofanya, n mkali, hapokei ushauri hana asante, hajali akifika unasikilizia kajaje mpole mkali,dk 2 2shatbuana kwa nn nclale mapema kuepuka makelele?,,na huo moyo wa kufanya hayo nautoa wap??? au nna moyo wa chuma jaman? unalotaka kutendewa anza wewe kwa kuonyesha mfano.
 
So sad kwamba hata sisi tunatafuta mwanaume mwerevu wa kumfanyia hayo hatumuoni!

kweli aisee,,,sijui ndo kwenye miti mingi au upele kwa asie na kucha.
 
Oh! Njema sana, tunaomba basi na ya mwanaume mwerevu,ila jua tu Mungu anakupa wa kufanana na wewe, wewe ukiwa

mwerevu mwanamke pia atakuwa mwerevu,ukiwa mjinga na mkeo naye the same two times.
 
umewaonea sio wote wako hivyo, hizo ni tabia za mtu mmojammota, kuwajumuisha wote si haki, kuna wanawake wanalea wanaume na ukoo mzima, salute kwao, NAWAHESHIMU SANA WANAWAKE
 
Umenifanya nilog in.. nifanye yote hayo kwa mwanaume gani ?na faida yake nalipwa nini?
 
Mazuri afanyiwe mwanaume tu,kwani mm staki kufanyiwa,hata mm nataka massage na makila kitu eboooo
 
jamani wanaume ni wabinafsi!!! mnadhani wenzenu ni marobot, mke ni msaidizi na sio mtumwa, tambueni hiyo dhana mmeikiuka sn na cjui mtamjibu nn Mungu
 
Patamu Apa Wanawake Naona Wamekuja Juu Kama Mvua
Kwani Hamjui Wanaume Tumepewa Daraja Kubwa Kutoka Kwa Mungu.
 
Yooooooote hayo nikufanyie hivi wakati huo mimi ni mama wa nyumbani?au.Hivi kama ninaenda kazini kama wewe nidamke asubuhi na mapema labda saa 10 alfajiri, nianze kukufanyia shughuli hizo labda pamoja na watoto, hivi kazini kwangu kweli kutakuwa na ufanisi, halafu kama niko Dar na ninategemea daladala .... hivi mimi ni roboti/......haya ni makubwa madogo yana unafuuu.Kaaaaaaaaaaaaaaziiiiiiiiiiiiiiii kweli kweli kwa kwa huyu mwanamke.
 
Ni mwanamke au housemaid. Kazi sana kuwa muerevu
 
du mie nahisi mada nyingine zinatungwa kujua reaction za watu sijui ili iweje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…