Mwanamke yupi anaefaa kuolewa?

juma munna

Member
Sep 26, 2012
10
0
Nikiwa kama kijana ninaejitambua kwa maana nishakuwa mkubwa sasa kila kitu kinabadilika kutokana na UMRI unavyoongezeka so kama mwana JF mwenzenu nimefikia wakati sasa wa kuwa na mwenzangu ndani ya nyumba ili nipate utulivu. Wanawake ni wengi wenye kila aina ya sifa uzuri na tabia tofauti tofauti kwa hivyo basi nimekuja kwenu kama wakubwa wangu na ndugu zangu najua kuna wengine tayari wameshaoa humu wengine wamechumbiana so mnajua raha ya kuwa na mke na karaha pia kutokana na tabia zao nawaomba mnisaidie ni mke mwenye tabia zipi anaefaa kuolewa nisije nikaoa gume gume ndugu yenu ni hayo tu
 
unataka tukwambie mwanamke wa kuoa?!:dizzy: :dizzy: fuata moyo wako au waombe wazazi/ndugu wa karibu wakutafutie. mwanamke mwenye sifa ninazozipenda anaweza asiwe na sifa uzipendazo wewe
 
Hahahaaaaa! Mchagua sana mwishoe huchagua koroma!!! (Hapo watu wa bara mijicho imewatoka, hajaambulia!!!!) Jiangalie babu wewe usije oa MKE KA DADA YAKO. Sifa za mke wmema ni hizi
1.MALA*A SANA KITANDANI( Hapo ukigonga mechi za ugenini zote zinakuwa chini ya kiwango, lazima utulie kwenye ndo.)
2.MWEREVU SANA (Anajua kupambanua situation katika maisha kuendana na mazingira.)
3.MZURI SANA (Hii itakuokoa na uvunjifu wa amri ya 9 na kugeukageuka nyuma kucheki ndinga za wenzio huku mijicho imekutoka
4.Anakupenda na kukuthamini kuwa wewe ndo THE ONE kwake!!(Usipoangalia utakuwa ZOMBIII la mtu maisha yako!)


Hapo si utakuwa umeoa ila utaenjoy ndoa.
 
wee naona haupo ready kwa ndoa maana ata qualities za mke ukaulize watu baki!?? loh!!
 
Wanawake wote wana sifa za kuolewa. Inategemea na muoaji kama kweli yuko serious. Mke huchaguliwa na muoaji na si watu wengine vinginevyo mhusika anataka mke wa watu lakini si mkewe. Mtoa hoja ana jibu ingawa hajui hivyo.
 
kaoe asieolewa
ukimbilia mke wa mtu alieachika mpwa utajuta kuzaliwa lo
 
Back
Top Bottom