Mwanamke yeyote anahitaji Matunzo...

Mwanamke yeyote anahitaji Matunzo...

Nimegundua kwamba Wanaume wenye akili tupo wachache sana, yaani mwanaume mzima na bichwa kubwa unakuja kujisifu kwa kuhonga/kuhudumia kimada..?? Seriouly..??

Unahudumia mke ambae anavitu vingi vya ku offer zaidi ya K. Mke atakuzalia, anakufulia, anakupikia na vitu vngne kibao sasa huyo kimada anakupa nn zaidi ya K..?? Na si ajabu mnahudumia wanaume kibao mpo kwenye foleni.. Yaan kuhudumia mwanamke ambae sio mkeo ni udhaifu na uboya wa kiwango cha SGR.

K is not for sale or for any kind of exchange, mwanaume kununua K ni ufala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajabu ni kwamba hata wale wanawake wanaopenda 50/50 watakuja kuunga mkono hoja
ha ha ha😀😀😀😀 da umemifanya nicheke kwa kweli, afu nikuulize kitu mfano nimemtokea mdada kwa ajili ya future na nina malengo nae,Ni sahini kweli kumtunza wakati hata sijamuoa?
 
Nimegundua kwamba Wanaume wenye akili tupo wachache sana, yaani mwanaume mzima na bichwa kubwa unakuja kujisifu kwa kuhonga/kuhudumia kimada..?? Seriouly..??

Unahudumia mke ambae anavitu vingi vya ku offer zaidi ya K. Mke atakuzalia, anakufulia, anakupikia na vitu vngne kibao sasa huyo kimada anakupa nn zaidi ya K..?? Na si ajabu mnahudumia wanaume kibao mpo kwenye foleni.. Yaan kuhudumia mwanamke ambae sio mkeo ni udhaifu na uboya wa kiwango cha SGR.

K is not for sale or for any kind of exchange, mwanaume kununua K ni ufala.

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuna utofauti kati ya kuhudumia na kununua soma vzr then comment

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mtoa mada, naona umeandika hii thread ili upate sifa toka Kwa wadada wa humu jf, ila anyway here are my 2 cents

1) Mwanaume kuhudumia mwanamke si kosa
2) Mwanaume hudumia kulingana na bajeti yako, usifilisike kisa kuhudumia mdada..LA sivyo utafilisika na wadada watakukimbia
3) Mwanaume hakikisha unahudumia mdada alievutiwa na ww kimapenzi, LA sivyo utaishia hudumia huku wengine wanakula bure, au unahudumia huku unaonwa boya na unachekwa kimoyomoyo Champagnee
 
Mie nasapoti hilo!! Wanahitaji matunzo kweli kweli!! Wapewe tu! Tuzo za GRAMMY, OSCAR, BET, channel O ikiwezekana hata za kili, zile za sinema zetu!! Wapewe tuu!!

[emoji41][emoji41][emoji41]
 
Mtoa mada, naona umeandika hii thread ili upate sifa toka Kwa wadada wa humu jf, ila anyway here are my 2 cents

1) Mwanaume kuhudumia mwanamke si kosa
2) Mwanaume hudumia kulingana na bajeti yako, usifilisike kisa kuhudumia mdada..LA sivyo utafilisika na wadada watakukimbia
3) Mwanaume hakikisha unahudumia mdada alievutiwa na ww kimapenzi, LA sivyo utaishia hudumia huku wengine wanakula bure, au unahudumia huku unaonwa boya na unachekwa kimoyomoyo Champagnee

Ausioo

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
For sure
Mleta mada jifunze kutofautisha Mke na Mwanamke.
Mke kweli anahitaji matunzo, ila huyo mwanamke mpumbavu anayekubali kukuvulia nguo wakati wewe sio mmewe huyo hastahili hata mia mbovu.

One love
 
Nimegundua kwamba Wanaume wenye akili tupo wachache sana, yaani mwanaume mzima na bichwa kubwa unakuja kujisifu kwa kuhonga/kuhudumia kimada..?? Seriouly..??

Unahudumia mke ambae anavitu vingi vya ku offer zaidi ya K. Mke atakuzalia, anakufulia, anakupikia na vitu vngne kibao sasa huyo kimada anakupa nn zaidi ya K..?? Na si ajabu mnahudumia wanaume kibao mpo kwenye foleni.. Yaan kuhudumia mwanamke ambae sio mkeo ni udhaifu na uboya wa kiwango cha SGR.

K is not for sale or for any kind of exchange, mwanaume kununua K ni ufala.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunagegeda kwa hela mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom