Mwanamke yeyote anahitaji Matunzo...

Mwanamke yeyote anahitaji Matunzo...

Daah Dunia inakwenda kasi sana, wakati namaliza Degree yangu nilikuwa na mzee usiku tukipiga story nyingi za maisha. Katika story zile nili note kitu kimoja tu kuwa mwanamke anahitaji matunzo hata kama anapesa zile ni zake me hazinihusu mwanaume hutakiw kukimbia majukumu kwa mwanamke na usisubiri kuombwa jiongeze, mfano umeona mpenz wako kuna kitu anamiss bhs mpe hela au mnunulie, Huo ndo uanaume na sio kulalamika eti wanawake wanapenda pesa huo sio uanaume.

Narud kwenye topic, Jana nilikua kidimbwi beach mbele yangu kulikuwa na masela wakijisifia wanakula bure yan wanajimwambafai kula bure, aisee niliona aibu hivi mwanaume unapataje ujasir wa kuf**k bure yani hugharamii wewe kazi kuslide legs tu[emoji1316][emoji1316].

Ndio maana hawafiki kibo kwa dizain hii, mwanamke yoyote unaekutana nae anahitaj matunzo hta kama mmekutana club ukatoka nae asbh mpe nauli asepe zake so kutokomea mapema unamwacha.

Ukiwa hugharamii maisha yako always yatakuw ya stress tu huwez jiamn mbele ya mwanamke wako kama hugharamii dharau lazma uoneshwee bila ubishi.

Wanaume wanagharamia na hawakimbii majukumu kwa wanawake zao. Nahis volume inatosha,


Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilishasema na nasema..mwanaume ili upate heshima..ni lazima uhudumie mwanamke..awe mke, kimada or call.mchepuko. kwa sababu..tagsiri ya kupenda kwa mwanamke..ni kujaliwa..kudekezwa..kuhurumiwa...hibyo kutoa ni njia sahihi ya kufhibitisha upendo..na hii si.mila bali ni nature..na mke nae ili apewe hela...lazima aonyeshe heshima kwa king wake. Haya mawili yakiwepo..mahusiano ni raha tupu! Tatizo.siku hizi hali ya uchumi inatuchanganya..haya tunaona majukumu yasiosahihi...ndio maana inakuwa ngumu kuwajali ....ushauri tu..we usijari mkeo..jua akitokea mwenye kujua siri hii..imekula kwako...utaacha wote duniani...maana wote wameumbwa hivyo!
 
Ajabu ni kwamba hata wale wanawake wanaopenda 50/50 watakuja kuunga mkono hoja
[emoji23][emoji23][emoji23] 50/50 inabidi iwe kwenye huduma za kijamii tu(Mfano Elimu),tofauti na hapo ni uongo
 
Back
Top Bottom