Mwanamke: Watangulie wambea mapema kabisaa, ili wakija kumnong’oneza awaambie, ‘ninajua’

Hahaha hapo ukweli ulijenga aisee...asingeniambia na ningekuja kugundua baadae mbona kingenukaaa

Wala kisingenuka watu8, kwa sababu angeshakuwa mkeo na saa ingine ameshakuzalia watoto, je ungemfukuza, na pia anagekwambia alifanya hivyo kwa sababu hakutaka kuzaa kabla ya wakati, na pia hakutaka watoto wasio kuwa na baba mwenye msimamo kama wewe, anakubembeleza na malavidavi juu!! wewe mwenyewe ungekuwa mdogooooooooo kama piriton, ungebaki unaitikia tu kama yule wa kwenye easy pesa.
 
.....ungebaki unaitikia tu kama yule wa kwenye easy pesa.

Hahaha...yule ni wa Zantel Internet si Zantel "EasyPesa"
Ila all in all binafsi katika suala la mahusiano na mapenzi, huwa ni mfuasi wa kubainisha mambo mapema na huwa sipendi ku-deceive watu hata kidogo...
Ni vyema mtu akajua black & white tangu mwanzo ili isiwe "breaking news" siku za usoni...
 
Yaani unataka akueleze kila kitu, kwani amekuja kwa baba paroko kuungama makosa yake? mm hicho ndicho sifanyi as long as umenikuta kweupe wenzio wameshapita sasa naungama nn tena kwako, ukiona hakuna kitu kweupe jua wenzio wameshapita so una ihali ya kununua au kuacha.
 
In such sio kuungama best, ni sheria nyepesi tu kuwa kabla ya kila mkataba kufikia muafaka lazima terms ziwe wazi ili kuwa na 50-50 interests
 
Hashahahaahahahhaaha!!!! Loh!! Mtambuzi wala hunidanganyi naendelea kukaa kimya hivi hivi wal sisiemi ng'ooooooooo!!! unaweza ukasema yakawa makubwa yasiyoisha, na kila utakachofanya utaambiwa si yule bwana wako ndiye anayekutia kiburi, kumbe walaaaa hna hata kumbu kumbu naye. Mimi thithemi ng'ooo!!!

Unaweza zua donda ndugu, lisilo pona wala kutibika
 
Mi sijawahi kuwajua wapenzi wa zamani wa mamsap na sitaki kuwajua. Nadhani ningewajua ndoa isingekuwa stable hata kidogo. Wakisalimiana tu ningekuwa nalianzisha, wanataka kukumbushia au? Siri ambayo hatakiwi kuficha ni kama aliwahi kuzaa kabla hatujaonana na mtoto yupo wapi? Tena ikiwezekana tukae nae sisi, asikae kwa babake ili mamake apate sababu ya kumtembelea mtoto ili aonane na mchizi.
 
Kuna watu wanajua kung'ang'ania kusimuliwa historia mpaka unajikuta umetoa maelezo yooote! Hapo sasa ndio unasubiria kukimbiwa au la! Ila uzuri wa kusema yote unabaki huru, muhusika anaamua mwenyewe kusuka ama kunyoa.
 
Hashahahaahahahhaaha!!!! Loh!! Mtambuzi wala hunidanganyi naendelea kukaa kimya hivi hivi wal sisiemi ng'ooooooooo!!! unaweza ukasema yakawa makubwa yasiyoisha, na kila utakachofanya utaambiwa si yule bwana wako ndiye anayekutia kiburi, kumbe walaaaa hna hata kumbu kumbu naye. Mimi thithemi ng'ooo!!!

Pole....
 
Kuna watu wanajua kung'ang'ania kusimuliwa historia mpaka unajikuta umetoa maelezo yooote! Hapo sasa ndio unasubiria kukimbiwa au la! Ila uzuri wa kusema yote unabaki huru, muhusika anaamua mwenyewe kusuka ama kunyoa.

Ila inasaidia sana mtu asiingie chaka!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Aaaaa wapi....yaliyopita si ndwele bana.,watu wengi hutaka kujua past za wapenzi wao ..but. they can't handle it. Acha nife na past yangu
 
Kusema cha ukweli ladyfurahia nimejieleza sana kwa mama Ngina hakuna nilichomficha maana sikutaka yawe makubwa hapo baadaye. Nilimwambia aamue mwenyewe kama tuoane au la.
Kuna siku binti mmoja family friend alimweleza kuhusu mpenzi wangu wa zamani ambaye nilipeleka posa kwao, lakini nikagundua kuna tatizo nika withdraw posa yangu fasta.
Huyo binti alijua kuwa mama Ngina hajui hiyo habari alipokuwa anamwaga huo umbea mama Ngina akamwambia anawafahamu wasichana wangu wote niliowapitia na baadhi ya picha zao alimuonyesha, akamwambi mke wangu kuwa ana moyo kama ingekuwa yeye wala asingekubali kuolewa na mimi. lakini kwa bahati mbaya huyo binti hajaolewa hadi leo anatembea tu na waume za watu..........
haki ya kweli usingekuwa shem wangu ningejua ni kakangu.........
sisi mawifi tunaonaje noma sasa kwa yule wifi yetu ambaye tulienda kumtolea mahari halafu akapigwa chini?
na kaka yetu hata mahari hakuifwata, alimwachia zawadi, eti ili akipata mchumba asitoe tena mahari, keshamtolea
 
Kuna watu wanajua kung'ang'ania kusimuliwa historia mpaka unajikuta umetoa maelezo yooote! Hapo sasa ndio unasubiria kukimbiwa au la! Ila uzuri wa kusema yote unabaki huru, muhusika anaamua mwenyewe kusuka ama kunyoa.
ha haaa, rafiki unanisema mimi?
maana napenda kuhadithiwa siyo mchezo.... eti mimi naona adventure fulani hivi.....
mwenyewe huwa naziita movie - live, na ukinikuta ninavyouliza maswali na kusikiliza kwa makini as if nimeambiwa nitaandikia mtihani, lol!
 
Kumbe wewe ni msikilizaji? Sijawahi kupata hiyo nafasi ya kuwa msikilizaji. Huwa nakosa hamu ya kusikiliza pale tu ninapohisi kuna udanganyifu wa aina yoyote ile! Kwangu mie bora usinisimulie kama simulizi yako utakuwa na uongo ndani yake. Mie nimetokea kuwa msimulizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom