Mwanamke wangu hanitaki

Wewe katafute kazi upate kipato, kama ni wako basi atarudi kama si wako songa mbele, Maisha hayapaswi kusimama hâta Siku moja...
Tena ni single mother wewe endelea mbele dunia itamfundisha, acha kulia lia songa mbele, narudia tena songa mbele
 
Da! Dada kakaa vizuri kweli kumuingilia kinyume cha maumbile
 
Tafuta kitu cha kufanya usihangaike kumrudisha. Mambo yako yalikaa sawa mwenyewe atarejea.
 
The problem with many boys they dont have emotional maturity sijui ila sijawahi kuteswa na mwanamke ila mapenzi tayari kuteswa na mwanamke ni ujinga ila mapenzi yalimtesa mpaka ruge. Move on mkuu
 
Pole sana mkuu inaumiza lakini kwasasa focus yako ipeleke kwenye kujitafuta uwe na uchumi mzuri tu mwanamke anaekupenda awezi kukupa majibu mabovu hvyo.
 
Duh hivi una umri gani kwanza isijekuwa tunahangaika na foolish age mimi kabla hujasnza dalili za kunichoka nishakuacha kitambo tu sema nakutumia
 
sasa kama hakutaki why unaendelea kumwita "mwanamke wako?"

badilisha heading isomeke "kuna mwanamke hanitaki"
 
Hatuwezi kumshauri mtu tusiyemjua unless useme ukweli kuwa huyo mtu ni wewe
 
Si uondoke,au mfukuze aende.
Unataka kuuliwa humo bwege wewe.
Ningekutwanga makofi ungekua jirani
 
Sasa unahangaika nini? Mpaka leo hujui ku-move on? Tafuta hela broo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…