Mwanamke wangu hanitaki

si ndio hapo hela ya pombe anayo ila ya kuudumia familia hana. 😂😂
Hii ilishatokea kwa mwamba mmoja hatoi hata mia ni kulewa tu , kuitwa na wazee wapande mbili wakamkalisha kikao Cha kumsema yeye katulia tu lawama kibao , mwamba dakika za mwisho katoa kipande Cha karatasi Cha majibu ya vina saba watoto wote wawili kachapiwa , alitoka kifua mbele kama dame kwenye kikao , wanajumbe wakabaki kama wamemwagiwa maji
 
Na huyo mwamba ni wewe
 
Kama unawapenda sana,tafuta hela kwa namna yoyote ile

Hela ndo mwanaume
 
Pole sana, ingekua wewe mwanaume ndiyo umemfanyia hayo mwanamke msaada ungepatikana, ila kwa kua ni mwanamke kakufanyia wewe haya hakuna atakayekuelewa...


Cc: Mahondaw
 
Chunga moyo kuliko vyote maana ndiyo chemchem ya uzima itakapo,run kajitafute, huna uchumi imara unaeezaje kumlazimisha muendelee kuishi pamoja hutoi matunzo halafu unakunywa pombe hela unatoa wapi za pombe au ni zake tena bora hata ungemtafuta Mungu wewe unaenda kunywa pombe tena na kumpiga kesi yako ngumu hata Mungu anakushanga
 
Sema ukweli siyo kwamba pombe imekuwa sehemu ya Maisha yako hata kabla ya haya!!!

(Usinywe pombe kama mambo yameharibika,wengi baada ya mambo kuharibika wakaanza kunywa pombe,mwishowe Na wao wakaharibika, Na hatimae kufa kabisa)
 
Malizia basi hii nawewe aaaaaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…