Scott junior
JF-Expert Member
- Mar 24, 2022
- 3,204
- 4,612
Duuuh leo pombe zimechakaza sana watu😏😏habari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari.
Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi ndiye mwanaume wake WA kwanza kwenye suala la mapenzi.
Tatizo ni kwamba nimeanza kuishi naye wakati nimetoka chuo na hivyo sikuwa nimejipata kimaisha japo yeye alikuwa ana vibiashara vyake vidogo vidogo vinamuingizia kipato.
Kwahiyo ikawa rahisi sisi kuishi pamoja baada ya kumpa mimba, mtoto wetu hivi Sasa ana miaka miwili na nusu na hivi karibuni maisha yameniendea kombo sana kiasi kwamba huduma zote za nyumbani nikawa kama namtegemea yeye.
Hali iliyopelekea yeye kunambia kuwa amechoka anaomba nimpishe na mtoto kwa muda, japo sikuondoka lakini kauli hiyo ilinichanganya sana akili na kunipa mawazo kiasi kwamba nikajikuta natumbukia kwenye ulevi.
Siku Moja nilimkuta amesimama na mwanaume aisee na nilikuwa nimelewa hivyo sikujipa muda wa kutafakari ikapelekea nimpige kibao mpaka wazazi wake yaani baba ake akaja kumchukua namimi ikabidi nirudi kwetu kwa muda kupumzisha akili.
Sasa ni hivi kesho yake baada ya kurudi kwangu nikakuta ameniwekea mizigo yangu yote nje akimaanisha haitaji tena kuishi na mimi, aisee nliondoka lakini baadae nimeanza kumtafuta kumuomba msamaha kanikataa kata kata na kunitishia nikiendelea kumsumbua ataniblock na nisisikie kabisa kuhusu mwanangu tena.
Naombeni ushauri kwakweli roho inaniuma sana sikuwa tayari kuipoteza familia yangu kwa wakati huu nampenda sana mwanamke wangu pamoka na mwanangu siku ya tatu Leo nakosa usingizi mawazo yamenijaa Sina Raha ya kuishi kabisa.
MEMBER MWENZETU ANAOMBA USHAURI
KUTOKA WANAUME UNION.
naamini atapata ushauri sahihi wakuu.
Pole sana ila wanawake wote dunia nzima ndio wapo hivyo hawapendi kutegemewa na mwanaume ila kumtegemea mwanaume tu... naendelea kusoma nikupe ushaurina hivi karibuni maisha yameniendea kombo sana kiasi kwamba huduma zote za nyumbani nikawa kama namtegemea yeye.
Ushauri wangu: Mwanaume halii hata iweje.. nazungumza nikiwa na experience ya Ungariba unapigwa kisu kwenye govi bila ganzi na unaambiwa usilie na haulii ukilia unajivua uanamume kwa hio inabidi ugugumie maumivu tu ndani kwa ndani.. mwanaume halii umeanguka simama wima futa vumbi mwanaume tembea mbele atakutafuta yeye mwenyewe ukishajipataNaombeni ushauri kwakweli roho inaniuma sana sikuwa tayari kuipoteza familia yangu kwa wakati huu nampenda sana mwanamke wangu pamoka na mwanangu siku ya tatu Leo nakosa usingizi mawazo yamenijaa Sina Raha ya kuishi kabisa.
SawaHama mazingira na katefute njia sahihi za kuwa na kipato endelevu
Sio Mimi banaUshauri wangu: Mwanaume halii hata iweje.. nazungumza nikiwa na experience ya Ungariba unapigwa kisu kwenye govi bila ganzi na unaambiwa usilie.. mwanaume halii umeanguka futa vumbi member mbele atakutafuta yeye mwenyewe ukishajipata
Usitumie nguvu sasa😅Sio Mimi bana
Kuna mtu kaomba ushauri huko.
kwahyo umeamua kumtusi mwanaume mwenzetu, atajisikia vibaya.
Anajitahidi sana kukwepesha...Usitumie nguvu sasa😅
Aya mzee baba😂Usitumie nguvu sasa😅
Hiyo stori kwanza inanukia u Facebook sana tu. Haina ukweli wo wote 🚮kwahyo umeamua kumtusi mwanaume mwenzetu, atajisikia vibaya.
Tulia tulishachukua mafunzo kwaAnajitahidi sana kukwepesha...
Thibitisha kwamba story ikitoka facebook haina ukweli wowote.Hiyo stori kwanza inanukia u Facebook sana tu. Haina ukweli wo wote 🚮
Huyo Malaya ushamkuta na mabwana zake wamembananisha kwenye kona kisa hauna mavumba na unakula kwake anakulisha kwa pesa za haohao unaomkuta amesimama nao.. hapo cha kufanya vunga jitafute baada ya kujipata atakuletea mwenyewe umgonge.. ila jua ndio kashakua Malaya rasmi sio vibiashara vyake tu vinavyompatia pesa kwani vibiashara wewe ukiwa haupo ndio vitakua vinamtomba?Tulia tulishachukua mafunzo kwa
Natafuta ajira
Naliaje kizembe😀😀
Sawa atakuja kuona ushauri wako hapaNi mpumbavu tu anaweza kuvumilia ujinga wako.
- Hujalipa mahari
- unapiga mwanamke
- mlevi
- uchumi mbovu (unalishwa, unahudumiwa umebaki kubebelea makendree tu)
Childish 🚮Thibitisha kwamba story ikitoka facebook haina ukweli wowote.
WANAUME UNION