Mwanamke wangu dakika 30 tu hoi, nafikiria kumuacha

Mwanamke wangu dakika 30 tu hoi, nafikiria kumuacha

Hizi mada za aina hii zimeshamiri sana siku hizi hapa JF! sijui hii hali imesababishwa na nini hasa aisee!
Hii ndio reflection ya Watanzania, ndio maana pamoja na elimu na kampeni dhidi ya Ukimwi, ngoma bado imesimama. Sasa tumeamua hata watoto wa shule waruhusiwe kujipima ukimwi kwa siri.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kawaida naamini kutulia na mmoja mliyepima afya ndio dili kwani ladha ni ile ile tu ila sura, usafi na tabia wametofautiana.

Lakini wakuu nimebahatika kupata mwanamke mzuri lakini 6/6 ananifanya nifikirie kumuacha kimya kimya; anafika kileleni mapema sana, yaani nikipiga mechi nonstop dakika 30 huwa tayari anapotea usingizini au kuwa kama mtu aliyekufa ganzi, hapo hapo na akiamka anasema yeye kashatosheka, anavaa anaenda kuoga anaondoka.

Sasa hii hali inanivuta kuchepuka na nikichepuka najua kuna madhara lakini nimeona ni afadhali kuchepuka tu au nitafute fundi tu nitulie naye maana nishaichoka hii hali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Social media zimefanya vijana wetu wakose kabisa sifa ya kutunza siri. Kila takataka wanayokutana nayo maishani lazima waianzishe uzi.

Pathetic
pathetic indeed.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom