kesho nakupigia kijana [emoji23]lijana angu jana ulivyokuwa hupatikani nikajua umejinyonga[emoji23][emoji23][emoji23]
ndio mademu walivyo esp wanawake wa tanga na zanzibar huwa wanaolewa na umri mdogo tena huyo 24 kachelewa sanaa
at our age bro inatakiwa tutumie akili sana kuliko emotion
ila itapita tuu ndio unapata exipirience sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu ninachokwambia ni kwamba demu kabadilika Ghafla Mnoo, yaani sjui nikwambiaje ila amekuwa kama kachanganyikiwa, nahisi amelogwa kabisa, wananiibia mke wangu wa NDOA Dah inauma Sana, yani binti ananipenda balaa, Hawa watu watanga nahisi wamempika.Mdogo wangu tafuta kwanza maisha jipange ndio uoe
Ungekuwa unaeleweka kiuchumi demu wako angekupeleka Tanga ukajitambulishe kwao, taratibu za ndoa zifuate ila ameona bado unajitafuta
Yaani sasa hivi unaonekana kama mche wa sabuni hauna mbele wala nyuma. Hakuna muda wa kusubiriana umri wake unaenda
Acha aolewe akiwa na 24 wakifika miaka 30s mnaanza kuwaponda sana kuwa wasimbe, mara soko lao gumu, mara ilikuwaje hajaolewa mpaka anagonga 30s
Lini ulimuoa?wananiibia mke wangu wa NDOA
Tafuta helabinti ananipenda balaa, Hawa watu watanga nahisi wamempika
oyaaaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnavomshauri mnazidi kumtia jambajamba mdogo wetu, hajui ashike lipi aache lipi, tafrani tupu [emoji1787],, anavuta picha kwamba alipga style zote hadi akachechemea lakini haikusaidia[emoji1787],, sasa anavuta picha vile alivomkunja kuna mtu anaenda kumkunja tena [emoji1787] na tena [emoji1787],,
Miaka 23[emoji23]
Wewe mkuu Sisi kuoa ni Chap Mzee watu wanaosoma Afya Wengi tunawahi kuoa 24-26 Wengi wameoaAlafu ndio tunategemea Taifa lipate maendeleo kwa vijana wa aina hii?
Wewe mpumbavu acha mawazo ya ndoa na ukalitumikie taifa, umri wako bado kuwaza masuala ya ndoa,
Iyo kichwa yako siamini hata hicho chuo unasoma kweli ama unawaza ndoa
Aise umeandika kirahisi sana hapa, so unafikiri waliokua na utitiri wa ma EX Ni watu wa wanawake Sana, mimi sio mtu wa wanawake napenda settel nashangaa list yangu inaongezeka tu relation not easymimi sio mtu wa wanawake sana , sizani kama ntapita kwa wanawake wengi .
Kumbe ndiyo huwa mnadanganyana hivoMdogo wangu, you are single until you are married… huyo si mwanamke wako. Na wanawake tunasema usiache boyfriend wako akakuzuia kupata potential husband.
Kung’uta mavumbi utapona.
Uongo ni upi hapo sasa?Kumbe ndiyo huwa mnadanganyana hivo
Muoe sasa[emoji23][emoji23]Zipo
anza kuatafuta mapema sio usubirie mpaka 30😂Miaka 23 tuliza boli na mshukuru yeye kwa kuolewa
muwe mnasema sasa kama mmeona flani ni boyfriend material au husband materialMdogo wangu, you are single until you are married… huyo si mwanamke wako. Na wanawake tunasema usiache boyfriend wako akakuzuia kupata potential husband.
Kung’uta mavumbi utapona.
Mdogo wangu, tembea na akili yako kila mahali. 😆muwe mnasema sasa kama mmeona flani ni boyfriend material au husband material
hizi suprise mnazofanya sio poa😂
Jichanganye ujute, kula maisha janja utaota upara kwa stress za mapenzi ambayo hayana hata muelekeoanza kuatafuta mapema sio usubirie mpaka 30😂