1) Mwanamke kujipamba.Ngoja tuambiane tabia za wanawake wa uswahilini haya ni baadhi tu wengine mtaongezea kama yapo
1. Wanathamini kuvaa kuliko chakula
2. Hawajui bajeti, ukimpa laki ya matumizi ya kawaida anaenda tafuta mganga
3. Hawana siri kwenye mambo mazuri akinunua kitu atahakikisha kila mtu anajua, ndio maana wanaongoza kwa visherehe visivyo na tija
4. Hawawezi kukaa nyumba yenye geti na eneo lililotulia kwani wamezoea kushinda kwenye miji ya watu
5. Ukiwa na mahusiano ya mapenzi basi familia nzima itajua mama, bibi, shangazi nk
Ongezea mengine kama yapo
Nimekumbuka ule mchezo jamaa wa kishua anampenda demu wa uswazi (Shamsa Ford), familia ya mwanamme inapambana kumbadilisha tabia mwanamke aendane na wao, kumbe jamaa kampenda demu kwa mambo yake ya uswazi...kwa ufupi mwisho anamuoa na kumbwaga mchumba wake wa ushuani.Ukiwezana nao ππππ½ππ½
chausikuπNimekumbuka ule mchezo jamaa wa kishua anampenda demu wa uswazi (Shamsa Ford), familia ya mwanamme inapambana kumbadilisha tabia mwanamke aendane na wao, kumbe jamaa kampenda demu kwa mambo yake ya uswazi...kwa ufupi mwisho anamuoa na kumbwaga mchumba wake wa ushuani.
Umejibu kiswahili kabisa, laki nayo pesa wakati familia nzima hakuna aliyewahi kukaa na laki benki au kwenye sm yani akaitunza tu mwezi mmoja hakuna, kila pesa inapewa shughuli1) Mwanamke kujipamba.
2) Bajeti si ufanye wewe mtafutaji, laki nayo umeiona pesa ya maana siku hizi?
3) Unataka siri si uhame Uswahilini, nyumba yenyewe wapangaji kibao.
4)Khaa, kwani nyumba ya geti hamna majirazni?
5) Hayo siyo Uswahilini, hukohuko kwenu. Uswahilini hatuna "mahusiano" ama unaoa ama unasepa.
Bila "waswahili" ungejuwa Kiswahili wewe? tupishe huko.
Halafu mtu kama huyo anasema "mimi msomi".
Punguani wahed.
π€£π€£π€£π€£Nimeiona hii bhana πWnavaa vitambaa kichwan kama 50 cent [emoji23][emoji23]
Haaaa haaaa umeuwa balaa haya wenye wachumba uswahilini mmeona mambo hayaWanapenda kuvaa dera bila chupi.
Mafundi vitandani, ukienda kizembe lazima utangaziwe kuwa kimoko chali.
Maisha yao ya ngono sio siri. Kwao ni sifa kutangaza jinsi walivyofanywa na mabwana zao na ndio maana ni rahisi kutembea na marafiki hata 10 kutokana na jinsi wanavyohadithiana.
Hawana gharama kubwa za maintainance, kuanzia nywele mpaka kiatu inaweza isigharimu hata 50,000.
Wanapenda sana kuvaa sare. Ikitoka design mpya ya nguo sio ajabu ukakuta mtaa mzima kila mtu anayo. Na wanahakikisha inavaliwa mpaka iombe poo.
Hawana hiyana kwenye kugawa papuchi hivyo uzoee kugongewa.
Wanaamini mno katika shirki. Akiumwa kichwa lazima aende kwa babu kutazamia.
Wanapenda sana ugomvi, kitu kidogo tu wanachapana.
Wana asili ya uchafu, mtu kuamka na kuanza kuzurula mji mzima bila kuoga ni kawaida.
Wanapenda sana kuazimana vitu. Sio ajabu wakaazimana mpaka chupi.
Mwamba umeua mwamba,unaweza jiuliza hivi huyumbona hana maisha binafsi??wnaapenda sana maisha yao (binafsi) yajulikane nakuamliwa na jumuiaya au majirani,mfano chakula ,mavazi,atembee nabwana flani au laaa??Wanapenda kuvaa dera bila chupi.
Mafundi vitandani, ukienda kizembe lazima utangaziwe kuwa kimoko chali.
Maisha yao ya ngono sio siri. Kwao ni sifa kutangaza jinsi walivyofanywa na mabwana zao na ndio maana ni rahisi kutembea na marafiki hata 10 kutokana na jinsi wanavyohadithiana.
Hawana gharama kubwa za maintainance, kuanzia nywele mpaka kiatu inaweza isigharimu hata 50,000.
Wanapenda sana kuvaa sare. Ikitoka design mpya ya nguo sio ajabu ukakuta mtaa mzima kila mtu anayo. Na wanahakikisha inavaliwa mpaka iombe poo.
Hawana hiyana kwenye kugawa papuchi hivyo uzoee kugongewa.
Wanaamini mno katika shirki. Akiumwa kichwa lazima aende kwa babu kutazamia.
Wanapenda sana ugomvi, kitu kidogo tu wanachapana.
Wana asili ya uchafu, mtu kuamka na kuanza kuzurula mji mzima bila kuoga ni kawaida.
Wanapenda sana kuazimana vitu. Sio ajabu wakaazimana mpaka chupi.
Duu ushauwa vibeTuwape habari za Yesu. Wakiokoka watakuwa wazuri sana maana wanajua sana maisha ya kuvumilia na kuridhika na kipato kidogo!!
we sio mswahili banaπJamani tumewakosea nini, mbona kutusema hivyo asubuhi asubuhi yote hii hata chai hatujanywaπππ
πππ€£π€£π€£π€£π€£π,, yani ungejua π€¦ββοΈwe sio mswahili banaπ
au umekulia hukoππππ€£π€£π€£π€£π€£π,, yani ungejua π€¦ββοΈ
Wako radhi wakope ili tu kufanya maigizo ya ufahari. Ukichunguza ndio wateja na wahanga wakuu wa mikopo umiza.Mwamba umeua mwamba,unaweza jiuliza hivi huyumbona hana maisha binafsi??wnaapenda sana maisha yao (binafsi) yajulikane nakuamliwa na jumuiaya au majirani,mfano chakula ,mavazi,atembee nabwana flani au laaa??
Sio kukulia tuππππau umekulia hukoπ
hebu ntumie picha umeshika dera limechora tako nihakikisheπSio kukulia tuππππ