Mwanamke wa sifa gan anafaa kuwa mke??

Mwanamke wa sifa gan anafaa kuwa mke??

Hapa ninakuwa kama BUBU ATAKA KUSEMA...

One thing is for sure though, utakapokutana naye, utajua! Maushauri na mitazamo yetu itakufa papohapo hutosikiliza cha mwazini wala nini sijui wanasemaga..you will just know it in your heart!!!
 
Last edited by a moderator:
1.Makalio makubwaaaaaaaaaaaa
2.sura kama mtoto wa mjomba kagame
3.saa sita...au na nusu
4.awe anajua kugegedana (apa unam-test kabisa...hakuna kuuziana mbuz kwe gunia)
 
Najiulza mbona ndoa inachelewa?
kumbe niko kwenye matazamio.
duu nyie wanaume mnachunguza
aisee.
 
kabla ya kwenda kuoga afanye mandingo kwenye maji kama kuweka iliki na vikorokoro vyote then hips pia zinahusika, awe anajua kupika asee itakua mzuka zaid.. pia asipende pesa akupende jins ulivyo hapo ndoa kabisaaa
according to me
 
Hapa ninakuwa kama BUBU ATAKA KUSEMA...

One thing is for sure though, utakapokutana naye, utajua! Maushauri na mitazamo yetu itakufa papohapo hutosikiliza cha mwazini wala nini sijui wanasemaga..you will just know it in your heart!!!

Wala mnadi swala!!
 
aWE NA HESHIMA NA KUTAMBUA MIMI NDO KICHWA CHA NYUMBA NA MIMI NI MUME NAE NI MKE VINGINE NI ZIADA NA UBATILI
 
Wanawake ndio hawahawa..we tia mkono kizani utayempata ndio huyohuyo.!!
 
1.Makalio makubwaaaaaaaaaaaa
2.sura kama mtoto wa mjomba kagame
3.saa sita...au na nusu
4.awe anajua kugegedana (apa unam-test kabisa...hakuna kuuziana mbuz kwe gunia)

mh kumbe kuna tutakaoachwa eeh!..dah haya mahaba nipoteze kama ndege ya malaysia ni tabu.
 
Kila mwanamke anafaa kuolewa ila wanaokaa ndani ya ndoa sio hao uwafikiriao
 
mh kumbe kuna tutakaoachwa eeh!..dah haya mahaba nipoteze kama ndege ya malaysia ni tabu.

Tehe tehe.....izo sifa najaribi kumpa mleta mada...

Zangu tofataut kabisaaaa....so ucjal mom fay..tehe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom