Mwanamke wa Nairobee

Mwanamke wa Nairobee

hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.
sheria za jeshi unazijua???
 
hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.
Unaelewa maana ya 'suspended'?
 
hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.
Samahani hivi mtu akiwa suspended maana yake ni amefukuzwa ??
 
Asanteni wakuu ndio maana nikamuuliza mkuu hapo yeye kasema kafukuzwa wakati habari inasema kawa suspended
Linapokuja swala la lugha ya malkia mambo kama hayo kutokea ni kawaida
 
Mmmm mbona nipo kwenye ndoa huu mwaka Wa 4 sijawai fundishwa izo taratibu za jeshi? Za idi ya mume kukataza kuvaa combati na kupiga picha na kuziweka kwenye mitandao
Ndo taratbu zenyew
 
mhh mbona kama binti yangu lulu wa hapa home kwangu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom