Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Na uzuri wake kamponza mumewe..Mzuri uyo dada...
Mmmm mbona nipo kwenye ndoa huu mwaka Wa 4 sijawai fundishwa izo taratibu za jeshi? Za idi ya mume kukataza kuvaa combati na kupiga picha na kuziweka kwenye mitandaoTatizo lipo. Wake wa wanajeshi hufundishwa taratibu za vifaa vya kijeshi vilivyo nyumbani. Huyu anaeza kuwa alikuwa kimada.
Mmmm mbona nipo kwenye ndoa huu mwaka Wa 4 sijawai fundishwa izo taratibu za jeshi? Za idi ya mume kukataza kuvaa combati na kupiga picha na kuziweka kwenye mitandao
Mwanamke hapigwi makofi anapigwa naningekuwa Mme wake angekula makofi mazito heeee, yaani angesimulia
Wanafundishwa wapi na nani?Tatizo lipo. Wake wa wanajeshi hufundishwa taratibu za vifaa vya kijeshi vilivyo nyumbani. Huyu anaeza kuwa alikuwa kimada.
Angekuwa mzuri angepaka makeup?Mzuri uyo dada...
Hapa umekuwa mke wa mwanajeshi.Mmmm mbona nipo kwenye ndoa huu mwaka Wa 4 sijawai fundishwa izo taratibu za jeshi? Za idi ya mume kukataza kuvaa combati na kupiga picha na kuziweka kwenye mitandao
Nadiriki kumuita ivyo cos mm Kama mwanaume hainiingii akilini vitendo alivyokua anafanya,alianzisha mausiano na Dada binamu wangu ambae tayari alikua na mchmba na ivi sasa anamume wake!mumealali wa sister alienda njee kikazi kwa mud a Wa miaka2 baada ya Kama miezi mitano kupita Dada akashidwa kuvumilia (msisimko Wa kimwili)ndipo akakutana na shemeji Wa ajabu akamsotea Dada Kama miezi miwili akakubaliwa apo ndipo alipo anzisha manjonjo kwanza kamuamisha Dada nyumba alio kua anakaa kampangia upande mzima,kabadilisha vitu vyote ya ndani kochi kitanda,kabati,frig, na vingine kaweka vipya.
shopping anafanyiwa kila mwezi kuanzia nguo na vitu vingine,kamfungulia sister bonge LA duka kavipodozi,sister na mumewake walikua na kiwanja mbezi awajajenga jamaa kaona mbezi mbali kamnunulia sister kiwanja kimara na kamjengea ndani ya miezi mi3nyumba nzuri.kilicho nichosha mume Wa sister akiishiwa Pesa uko njee akimwambia Mkwe amtumie jamaa anasema anamtumia yeye anatoa ela yake anamtumia mume mwenzie.mwezi Wa tatu mume Wa sister karudi basi jamaa kamwambia sister anampenda sema kaisha olewa ataki kuaribu ndoa yake so wakaachana toka mwezi Wa tatu mpaka kesho ajawai kumpigia simu sister wala kumtafuta du Leo nimekuja kwa sister nimeiyona ihii nyumba nimemkumbuka kweli huyu jama nimeshindwa kuelewa alipenda Sana or mini?maana hii nyumba kajenga nzuri kushinda yakwake.kweli ni shemeji wa ajabu!:what::what::what::what::what:
Kulekule jeshini.Wanafundishwa wapi na nani?
Kwahiyo kila mwanamke yuko huko?Kulekule jeshini.
mtoto mkare huyo,seniors wake wamemuonea wivu tu,na ndio ukweli...hope watamrudisha.hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.