Mwanamke wa Nairobee

ningekuwa Mme wake angekula makofi mazito heeee, yaani angesimulia
 
Tatizo lipo. Wake wa wanajeshi hufundishwa taratibu za vifaa vya kijeshi vilivyo nyumbani. Huyu anaeza kuwa alikuwa kimada.
Mmmm mbona nipo kwenye ndoa huu mwaka Wa 4 sijawai fundishwa izo taratibu za jeshi? Za idi ya mume kukataza kuvaa combati na kupiga picha na kuziweka kwenye mitandao
 
mhhh pole jamaa huko aliko jamaa anasema

ningejua nisongemtongoza
 
hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.
 
Mmmm mbona nipo kwenye ndoa huu mwaka Wa 4 sijawai fundishwa izo taratibu za jeshi? Za idi ya mume kukataza kuvaa combati na kupiga picha na kuziweka kwenye mitandao

Si ndio taratibu zenyewe au ulitaka ufundishwe Na kwata
 
Mmmm mbona nipo kwenye ndoa huu mwaka Wa 4 sijawai fundishwa izo taratibu za jeshi? Za idi ya mume kukataza kuvaa combati na kupiga picha na kuziweka kwenye mitandao
Hapa umekuwa mke wa mwanajeshi.

Hapa umekuwa mwanaume.
 
hili sio kosa la kumfukuza mwanajeshi - angewajibishwa kama makosa mengine lakini sio kumtoa wakati nchi iko kwenye mapambano na inahitaji askari.
mtoto mkare huyo,seniors wake wamemuonea wivu tu,na ndio ukweli...hope watamrudisha.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…