Kuna wanawake ni Psychiatric, my very first gilfriend Jacky alikuwa na hio shida ya uswahili sana na ujuaji, tulipozoeana kama wapenzi nilimpenda sana nikamuonesha hilo akaanza kuwa contolling na mbwatukaji sana! Kitu kidogo anatumia lugha kali ya maudhi kuja kuchunguza kumbe alishaanza na kuni cheat! Hasira hazimuishi yani tukiwa tunatembea anasalimiana na kila mtu hasa vidume ukiwa umesimama nae baadae anakumaindi, sitosahau siku nimeenda nae club kucheza nae baadae anakuja kuniambia eti watu wamemsema "naona ulikuja na bodyguard jana" kwa kuwa nilikuwa nimekaa counter ya karibu na alipo,at last nilkuja gundua ni mbinu tu alizokuwa anatumia ili tuachane!
Gf wa tatu nae akawa hivyo hivyo baada ya kujua nampenda sana ila yeye hakuwa mtu wa kuongelea mambo yetu kwa watu ila tukiwa wenyewe alikuwa ananichemsha sana, na ana zile kauli za kuudhi ikafikia stage nikawa namdunda maana alizidi kunibore!
Hvyo mtoa mada nakuelewa sana, naona wanwake wengi wana punch mada kutaka kuonesha kuwa wewe una matatizo wakati kitendo cha kuja hapa ni kwamba unataka ku exhale na kiuhalisia wanawake wengi wana hio shida ya kelele!